Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Habari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.

Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.

Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
 
Upo Mbeya sehemu gani ndugu tufanye biashara
 
mkuu ni dawa gani inatumika kunenepesha kuku wa kienyeji ? wawe na uzito mkubwa na pia wakuwe haraka?
asante
Tumia EMO; inasaidia sana, na kwenye chakula jifunze kuotesha Hydroponic Fodder - ni msaada mkubwa sana pia.
 
Tunauza mayai ya kuku wa kisasa tray 1 TSh 8,000
Tunayo ya kutosha hata ukihitaji tray 1000, utapata.
Ndani na nje ya Dar tunatuma ila gharama za usafiri zitakuwa upande wa muagizaji

Wote mnakaribishwa kuanzia Wachuuzi, Wafanyabiashara wa Mahoteli, Migahawa, Bakery, Vibanda vya chips na watumiaji wa majumbani.

Tunapatikana Majumba sita, mita 800 kutoka mataa ya airport kama unaelekea Gongo la Mboto, jirani na kituo cha daladala cha Posta.
Au simu/watsap: 0786157788 / 0767157788
1533297445325.jpg
 
Mimi nimeamua kuwafuga hawa wa kienyeji PURE; nauza vifaranga kwa idadi yoyoye ile kwa 1500 tu. ninapata mbegu (mayai) toka mikoani tutafutane tubadilishane uzoefu wadau:
Napatikana kibada kigamboni.
 
Mimi nimeamua kuwafuga hawa wa kienyeji PURE; nauza vifaranga kwa idadi yoyoye ile kwa 1500 tu. ninapata mbegu (mayai) toka mikoani tutafutane tubadilishane uzoefu wadau: 0682 231053.
Napatikana kibada kigamboni.
Wana umri gan hao vifaranga?
 
Wakuu; kwa wanao hitaji vifaranga chotara vya Sasso tafadhali tuwasiliane kwa 0682 231053;
Pia ushauli kuhusu;
Chakula
Mabanda
Kudhibiti magonjwa
Matibabu

Uzoefu wa ufugaji miaka 15; tembelea shamba darasa letu Kigamboni.
 
Habari?

Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.

Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.

Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma, Songwe, Mbarali, Makambako, Njombe, Iringa na Morogoro

Asanteni!.
Ndugu mm nipo Mbeya, je bado unahitaji mayai ya Kuku wa kienyeji?
 
Nataka kuanza na angalau kuku 100, hawa wa nyama, nikuze mtaji taratibu na kupata experience.

Je, watanigharimu kiasi gani - hasa katika chakula?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom