Will Billy
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 300
- 378
Kuna thread zimeshazungumzia hiyo kitu mkuu jaribu kutafuta
Haha haha haha haha hahaVipi business idea ya Coaster umeachana nayo???
Ahsante....Mungu akubariki.
Aizidi elf 6wiki 6 unamuza bei gani
Kwa tsh elfu but kwa sasa waweza watoa kwa wiki nne tu kwa tsh 5500 mkuu na hii itategemea chakula utakachowapa....wiki 6 unamuza bei gani
Sure mkuu....Aizidi elf 6
Karibu kwa maswali mkuuSomo zuri.. Thnx
NdioAhsante....
Soko linapatikana wapi? Soko la uhakika... Ivi pale Shekilango hakuna longo longo kweli?Kwa tsh elfu but kwa sasa waweza watoa kwa wiki nne tu kwa tsh 5500 mkuu na hii itategemea chakula utakachowapa....
Karibu
mkuu ni dawa gani inatumika kunenepesha kuku wa kienyeji ? wawe na uzito mkubwa na pia wakuwe haraka?Mkuu Karibu GMBD Consult ltd tunao uzoefu wa kutosha kuandaa michanganuo kutoa ushauri wa mradi wa kuku(broilers, layers, cross breeds n.k) ptunao uzoefu wa kutosha kwenye kunenepesha ngombe(cattle fattening), ufugaji wa nguruwe n.k Tuna mifano mingi Korogwe 9 kilomtre kutoka Segera on the way to Moshi kuna shamba la nguruwe (400) na Kuku (6,000), Cattle fatterning in Mtibwa, e.t.c Pia tunao uzoefu wa kutosha kwenye animal feed processing(Dodoma - Mapusa Rajab), Mbezi Luis (M & M Food Procesor) e.t.c karibu sana. wasiliana nasi +255715 737302 au +255784 737302 ama kwa email info@gmconsultz.com pia tembelea website yetu www.gmconsultz.com