Kwa wafugaji wa kuku wa kisasa

Renatus Edward

Renatus Edward

Member
Joined
Aug 2, 2011
Messages
43
Points
125
Renatus Edward

Renatus Edward

Member
Joined Aug 2, 2011
43 125
Swali la kutaka kufahamu,wife ameanza project ya kuku, anafuga kuku aina ya Sasso wanaendelea vizur lakini changamoto ya hawa kuku unakuta kuku wako wazima lakin ghafla tu ukienda bandani kuwaangalia unakuta mmoja wapo amekufa,mpaka sasa hii hali imetokea mara mbili..huwa ni sababu ya nini?? Chanjo zote anazingatia na anawapatia mwenye kufahamu zaidi naomba kunielimisha.na vipi kuhusu kodi ya serikali kwenye kuku ikoje mfugaji anapofanya kuku wake kama biashara.
 
Herman0888

Herman0888

New Member
Joined
Nov 27, 2018
Messages
3
Points
20
Herman0888

Herman0888

New Member
Joined Nov 27, 2018
3 20
Mbali na chanjo mkeo inabidi azingatie vitu vifuatavyo;itamsaidia;usafi w banda;awe na special slippers za au viatu vya kuingilia kwny banda la kuku,awape kuku maji y kutosha kw ushauri zaid kuku akifa usimtupe;mpeleke kw Dr w mifugo au muite Dr w mifugo am chungu ze il ajue nn 7bu y kifo ch uyo kuku!!
 

Forum statistics

Threads 1,314,787
Members 505,059
Posts 31,838,256
Top