Kwa wafugaji wa kuku wa kisasa


highness long

highness long

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2017
Messages
529
Points
500
highness long

highness long

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2017
529 500
Asante sn
Kuna mtu kanunua silverlands na bdo analalamika hawakui na wanakula sana...
Cha muhimu hata hizo za mtaani mi ninazo na sasahv ndo nafuga kibiashara maana mwanzo nilifuga kwa matumizi yangu tu
Kuku we mpe chanjo zote na kuna ugonjwa mmoja mbaya sana unaitwa coccidiosis unakuwa unawapa dawa tu ukiona choo cha ugoro au dalili ya damu...
Vinginevyo hamna changamoto yoyote mwaka jana mwishoni niliuza kuku 160.
Sahv nina kuku 270 tayari kwa pasaka...maisha ni kudhubutu maana mwanzoni niliona hawana faida ila nikitoa gharama ya ulishaji faida naiona..
Pumba tani 1 nanunua kwa laki 3. Then mahindi,mashudu,uduvi au dagaa,mifupa na chumvi..
Chakula cha kununua cha ready made ni gharama sana maana kuroiler wanakula balaaa hadi usiku kama ukiwasha taa wao ni kula tu hawajui kingine...
Jaribu huwezi jua bahati yako iko wapi mana kila mtu na mkono wake...
Kuna mwingine biashara ya kuku anaona hailipi,mwingine biashara ya gari hataki kusikia kabisa,mwingine kilimo anaona hakilipi ila kwa waliotoboa kupitia hivyo vitu ina mana walijaribu bila kuangalia hasara kwa awali

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kitomali

Member
Joined
Sep 21, 2012
Messages
42
Points
95
K

kitomali

Member
Joined Sep 21, 2012
42 95
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2015
Messages
1,745
Points
2,000
casanova69

casanova69

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2015
1,745 2,000
Tatizo lipo kwenye gharama za chakula,imetatuaje hili?
 
Wangaeli

Wangaeli

Member
Joined
Apr 26, 2011
Messages
62
Points
95
Wangaeli

Wangaeli

Member
Joined Apr 26, 2011
62 95
Jamani wandugu mimi nina banda tena kubwa tu la kutosha kuku 500 na zaidi but kinachonisumbua ni mtaji nipo maeneo ya tabata chang'ombe naomba kama kuna mwenye kujua wapi naweza kopa vifaranga plz.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Nkanazina

Member
Joined
Mar 4, 2016
Messages
18
Points
45
N

Nkanazina

Member
Joined Mar 4, 2016
18 45
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
2,665
Points
2,000
Age
25
George Betram

George Betram

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
2,665 2,000
Wakongwe...
Kuna ndugu yangu ameanza mradi wa ufugaji kuku wa kisasa miezi kadhaa iliyopita...
Ila changamoto anayopata ni katika kupata masoko,aliingia kwenye ufugaji bila kufanya utafiti wa masoko..!
Kwa wenye kufahamu namna anaweza kupata masoko naomba mtusaidie..!
 
A

alikhalef

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
714
Points
195
A

alikhalef

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
714 195
Wakongwe...
Kuna ndugu yangu ameanza mradi wa ufugaji kuku wa kisasa miezi kadhaa iliyopita...
Ila changamoto anayopata ni katika kupata masoko,aliingia kwenye ufugaji bila kufanya utafiti wa masoko..!
Kwa wenye kufahamu namna anaweza kupata masoko naomba mtusaidie..!
mimi ni mteja mzuri 0654567777
 

Forum statistics

Threads 1,293,769
Members 497,735
Posts 31,152,863
Top