Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Asante sana mm nimeanza na kuroiler 100 nataka anza na broilers 100 nikawa naogopa nahisi ni wachache
 
Naombeni ushauri wenu.
Nina ishi dar, ila nataka kuanza ufugaji wa kuku na nataka kuanza na vifaranga kama 150, na mabanda nimejenga mkoan huko Kilimanjaro na. nitamweka kijana wa kusimamia ufugaji huo.
Tatizo linakuja nianze kufuga kuku gani? Kwa sababu nataka faida nzuri ya mayai na nyama. Nashidwa kujua aina gani ya kuku au vifaranga gani ninunue na wapi wanapatikana.
Mayai yenye soko zaidi ni yale ya kisasa, kwasababu bei yake ni cheap ukilinganisha na haya ya kienyeji hivyo nakushauri ufuge layers.

Kwa upande wa nyama kuku wenye soko ni broiler (bei yao pia ni cheap na wanakua haraka) wiki ya nne mpaka tano unaanza kuuza.
 
Pole sana Toplemon, Hii ishu ni serious kuliko haya mafundisho wanayoyatoa kwa siku. mimi nilipata gharama za kuchemsha maji kila siku wakati vifaranga wangu wadogo mpaka walivyokua nikaacha so hivi sasa huwa nawapa anticox mara 3 kila mwezi ili kukabiliana nayo.
Mkuu ubarikiwe sana hili jambo la kuchemsha maji nililizangatia toka umenambia nimeona matokeo toka nimeanza kufuga tena baada ya kuanza kuchemsha maji havijawahi kufa hata kimoja wala cocordiosis haipo najitahidi usafi mno
 
Pole sana Toplemon, Hii ishu ni serious kuliko haya mafundisho wanayoyatoa kwa siku. mimi nilipata gharama za kuchemsha maji kila siku wakati vifaranga wangu wadogo mpaka walivyokua nikaacha so hivi sasa huwa nawapa anticox mara 3 kila mwezi ili kukabiliana nayo.
Huwa unawanyeshwa hiyo anticox kwa siku ngapi ndani ya mwezi mkuu?
 
Huwa nafanya hata mara moja kwa mwezi sababu ya kufanya hivyo ni kutosubiria mpaka ugonjwa uingine bandani. unafahamu kuwa coccidiosis ikiingia kuitibu ni ngumu na unaweza kupata hasara kubwa sana kwa siku chache.
 
Asante mimi pia wangu kila mwezi nawapa dawa za kuzuia hiyo cocordiosis, cholera na minyoo huwa nawapa anti biotic kwa siku tatu mfululizo kila mwezi.
 
Mkuu kama hujapata mtu wa kusimamia anza na mimi.
Nakushauri anza kufuga Kuku wa kienyeji(pure local breed) na usianze na vifaranga wewe tafuta tetea 30 na jogoo 3 wazur. Andaa chakula halafu watunzwe vizur within 8 months utakuwa na Kuku wasiopungua 300.
Unaweza kufafanua hiyo idadi ya 300 utaifikiaje na kwa gharama kiasi gani?
 
Ndio naweza kufafanua tena through my experience maana nilishafanya hili!.

Gharama si kubwa sana haizidi 120000 kwaajili ya chakula cha dukani na unaweka order ya mabaki ya chakula mgahawan kama ziada ya chakula.

Ukiwa na tetea 30( kumbuka wawe wa umri mmoja) maana yake kama kila tetea ataatamia mayai 12 una Mayai (30*12=360) na assume vifaranga 300 wametotolewa hayo 60 yawe yameharibika.
Hapo ni within 40 days za kutaga na kuatamia!

Na hao vifaranga ili wawe wazazi watahitaji miezi 6 ya kukua ndo maana nmesema 8 months pia wale kuku 30 wanaendelea na process kama kawaida za kutaga na kuatamia!.

Unaweza kuja inbox nikupe video na picha za hili ninaloandika hapa maana ndicho huwa nafanya baada ya kazi yangu ya kuajiriwa
 
Ndio naweza kufafanua tena through my experience maana nilishafanya hili!.

Gharama si kubwa sana haizidi 120000 kwaajili ya chakula cha dukani na unaweka order ya mabaki ya chakula mgahawan kama ziada ya chakula.

Ukiwa na tetea 30( kumbuka wawe wa umri mmoja) maana yake kama kila tetea ataatamia mayai 12 una Mayai (30*12=360) na assume vifaranga 300 wametotolewa hayo 60 yawe yameharibika.
Hapo ni within 40 days za kutaga na kuatamia!.

HUYU NI TAPELI, ATAWADHULUMU MCHANA KWEUPEEEEE
 
Ahsante sana. Hao mitetea unakuwa umewanunua wakiwa na umri gani na pia hiyo 120,000 ya chakula ni ya kuwatosha kwa muda gani hao kuku?
 
Kwa mwenye elimu ya jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku zaidi upatikanaji protin mfano funza, minyoo, mende msaada jamani aana dagaa na soya ni gharama mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom