mkuu ni dawa gani inatumika kunenepesha kuku wa kienyeji ? wawe na uzito mkubwa na pia wakuwe haraka?
asante
Dawa ni chakula cha kutosha na kiwe na virutubisho sahihi na kwa mchanganyiko sahihi.
hakuna lingine
mkuu ni dawa gani inatumika kunenepesha kuku wa kienyeji ? wawe na uzito mkubwa na pia wakuwe haraka?
asante
Upo Mbeya sehemu gani ndugu tufanye biasharaHabari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma,songwe,mbalali,makambako,njombe,iringa,na morogoro
Asanteni!.
Tumia EMO; inasaidia sana, na kwenye chakula jifunze kuotesha Hydroponic Fodder - ni msaada mkubwa sana pia.mkuu ni dawa gani inatumika kunenepesha kuku wa kienyeji ? wawe na uzito mkubwa na pia wakuwe haraka?
asante
Tumia EMO; inasaidia sana, na kwenye chakula jifunze kuotesha Hydroponic Fodder - ni msaada mkubwa sana pia.
Wana umri gan hao vifaranga?Mimi nimeamua kuwafuga hawa wa kienyeji PURE; nauza vifaranga kwa idadi yoyoye ile kwa 1500 tu. ninapata mbegu (mayai) toka mikoani tutafutane tubadilishane uzoefu wadau: 0682 231053.
Napatikana kibada kigamboni.
wiki ya 18 anatetea, wiki ya 21 unaanza kuokota mayaiKUKU wa mayai aliyetunzwa vema anatakiwa kuanza kutaga baada ya muda gani?
Ndugu mm nipo Mbeya, je bado unahitaji mayai ya Kuku wa kienyeji?Habari?
Wanajamvi,nimenunua mashine ya kutotolesha vifaranga hivyo napata changamoto ya malighafi yaan MAYAI. Hivyo nanunua mayai YA KIENYEJI yawe yanatokana na kuku halisi wa KIENYEJI.
Mwenye nayo au anaemjua supplier yeyote anayeweza niuzia mayai 500 kila mwezi kwa miezi 4 tuwasiliane PM kwa makubaliano ya bei na mengineyo.
Mimi napatikana Mbeya na vizuri kama supplier atakuwa mbeya na maeneo ya jirani yaan sumbawanga,tunduma, Songwe, Mbarali, Makambako, Njombe, Iringa na Morogoro
Asanteni!.
Nataka kuanza na angalau kuku 100, hawa wa nyama, nikuze mtaji taratibu na kupata experience.
Je? watanigharimu kiasi Gani!?
-hasa katika chakula.