funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Kwa anayetaka jinsi ya kufuga kuku wa nyama wa kisasa kwa kutumia gharama nafuu au project ya ufugaji wa kuku wa kienyeji (hii sijaifanyia kazi ila niliiandika) tuwasiliane thru funzadume@yahoo.com nitamsaidia jinsi ya kuwatunza na formula ya kutengeneza chakula.Mipango. Matahalani mie nilikuwa namsaka mtaalamu wa kufundisha ufugaji wa kisasa kwa kuku hawa kienyeji. Nimewasiliana na wadau wa Breakthrough business support kwa muda wamekuwa wakitoa sababu lukuki za kutopatikana na hatimaye hivi sasa hawapokei simu yangu! Maribuni na nyie wenzangu 0656 004001 ama 0656 004002.
Naomaba atafutwe mtaalamu atengeneze Darasa la weekend moja. Tuko tayari kumlipa!