Kwa wafanyakazi wote. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wafanyakazi wote.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Djunior, Oct 16, 2010.

 1. Djunior

  Djunior Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku ile ya tarehe 5/5/2010. Akiwa mbele ya wazee wa Dar-es-Salam, Mh JK huku akiwaita wafanyakazi wa Tanzania mbayuwayu, alitamba na kusema "Mimi ndiyo mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakayegoma nitamfukuza kazi,na kama ni kura sizihitali kura zenu, vijana wapo tayari Watatumia virungu,risasi za mpira na ikibidi za moto oa watasimama mahakamani na bandeji kichwani" mmh! Hii ndiyo kauli ya Mh JK. Wapendwa wafanyakazi hima wakati wetu wa kutamba umefika 31/10/2010 kwa nguvu zote mbele ya karatasi ya kupigia kura nenda kasitishe ajira yake. Mwajiri kiongozi atakaejali wafanyakazi na kuwafikisha Mafisadi wote mahakamani na kurudisha ardhi iliyouzwa kwa wageni kupitia migongo ya mafisadi. Hii oi oafasi ya pekee tuliyopewa na Mungu. Hima kwa pamoja.ushindi wa nguvu chagua Dr Slaa ndiyo kiongozi pekee anaefaa. MUNGU IBARIKI TANZANIA. MUNGU WABARIKI WAEANYAKAZI WOTE.Amen .
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hakyanani mfanyakazi atakae mpigia kura kikwete ni kihiyo!
   
 3. m

  mbea Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuendeshwi na udini hapo mmenoa!Kura yangu ni siri na wala si ya wazi kama mikutano ya hadhara.Nitakayempigia ndiye atakayeshinda,umetaka ndio hivyo hukutaka ndio hivy,ukikereka chukua bible usome!
   
 4. j

  joka Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona kwamba kwa wakati huu ni wakati wa kutafakari kwani jaziba zitakuwa ni mjukuu wa matokeo ya kura yako. afadhali ya shetani unayemjua kulikoni yule ambaye haumjui kkwani kutamka na ushabiki ni rahisi lakini TAFAKARI bandugu wapendwa. nami kura yangu ni siri
  natumaini atakayepigiwa ndo mshindi.
   
 5. N

  Ngo JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0


  Joka, Ndo kusema kwa vile CCM ipo madarakani na umeifahamu kw mda basi ni vema ikapewa kura? Unadhani kwa nchi zilizoendelea katika mfumo wa vyama vingi hayo maendeleo yalitoka wapi kama wananchi hawakuthubutu kujaribu ideas za vyama vingine. Katika maendeleo ya mtu yeyote au hata makampuni yanayofanya vyema kibiashara, Owning a right risk is unavoidable. If you don't dare to try, utabakia hivyo ulivyo na kuendelea kulalamika katika maisha yako. Umetoka wapi, upo wapi na unaona mtazamo wa maendeleo na maisha ya mtanzania yanaenda wapi. Hii cycle ya maisha magumu hayatakuwa kwako tu bali mpaka kizazi chako kama usipoamua kusimama na kusema ''hii hali sikubaliani nayo, lazima nisimame'' Maendeleo ya wenzetu wa nchi Ulaya na Marekani hayakuja hivi hivi, watu waliamua, wakasimama ndo maana uongozi wa chama kilichopo madaraki Ukivurunda, awamu nyingi wanakiona cha moto. Si kwenye uchaguzi tu wa Urais bali hata kwenye ngazi za juu kama Senate, Congress, gavornor na mayers.

  Napenda tu kusema, Tuache Uoga, kuchukua right risk kuna return yake Joka, Tubadilike Watanzania.
   
 6. Djunior

  Djunior Member

  #6
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Brother Joka take right risk but matokeo utayaona usiwe mwoga bro, Hakuna anaekulazimisha coz wewe mwenyewe unaona na bila changamoto yako maendeleo hatutayaona, mfumo wa vyama vingi haujaanza kwetu, umeanzia huko kwa wenzetu na maendeleo umeyaona ni kwa sababu ya vyama vingi bro. Ukweli ni kwamba tukifanya mabadiliko ndani ya miaka mitano tutaona mabadiliko kwa atakae kuja. Kama hatutafanya mabadiliko hatutaacha kulaumu miaka nenda miaka rudi,ukweli ndio huo.
   
Loading...