inatia huruma!Du mzinga kweli kweli; nilipita pale Magomeni polisi hivi karibuni nilitamani ningekuwa na kamera nipige picha mabaki ya pikipiki yaliyokuwa yameletwa wakati huona pita; Yalikuwa yametapakaa damu utadhani ndio mtu alikuwa anaipakaa kama rangi! Nilijisikia vibaya sana nikijaribu ku imagine mwendesha piki pikia ana hali gani huko aliko!
hapo ni wote!Aisee inatisha! sasa nani wa kulaumiwa hapo? Madereva au serikali?