Kwa waelewa tu...

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,175
56,767
tumblr_n98arxiQAs1rk8qkho1_400.gif
 
Jamaa alijificha kwenye kontena ka makinikia nini? Mwambie atoke tu raisi hajamtumbua mtu.
 
1459309_645823105455673_85647399_n.jpg

nawapoteza maboya nawaelewesha waelewa!
 
Jamaa alijificha kwenye kontena ka makinikia nini? Mwambie atoke tu raisi hajamtumbua mtu.
alimkana mara tatu
"simjui mtu huyu"
naye alimtolea jicho!
jicho lenye ukakasi,ukakasi wenye ukwasi!
aibu ilimtanda kama kinda aliepanda na kusikitishwa na kinanda! wkt hilo likiendelea nae alimkana "simjui uliemtaja si huyo ni mwengine"
 
HUYU ATAKUWA TUNDU LISSU MUDA HUU ALIKOJIFICHA
kipindi naandika hili "kwa waelewa tu" nilijua nimeeleweka! kumbe sijaeleweka:eek:
alimuuliza "umeelewa..?"
akajibu ndio nimeelewa
dk chache mbele akarudi na mdoli huku akimuuliza "ndo huyu..?"
"hapana"
akajibu mtu yule kwa sauti ya gadhabu...!
hilo likamtetemesha kinda nakuiona hatari ya mtu yule aliemtuma maana alionekana kung'atang'ata midomo yake huku akimkazia macho kinda!

nadhani umenielewa
 
Back
Top Bottom