Kwa wadau wa open university | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wadau wa open university

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndumbayeye, Apr 15, 2010.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  kwa wenye kujua, nini hasa lengo mahsusi la SPP?
   
 2. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #2
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  SPP ni nini?
   
 3. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #3
  Apr 16, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  student progress portfolio
   
 4. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #4
  Apr 16, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Thanks mkuu
   
 5. ulimboka

  ulimboka Member

  #5
  Apr 16, 2010
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi nimeielewa kama mfumo wa chuo unaofuatilia maendelea ya mwanafunzi wake hasa anapokutana na mwalimu wke
  uso kwa uso(face to face). Lakini jambo la kushangaza ni kwamba je muda unaotengwa kwa ajiri hiyo unatosha?
  Na inakuwaje kama mfumo huo umeanzishwa kwa mara ya kwanza chuoni na wanafunzi wake wanaonekana hawana taarifa za kutosha?
  Pia imekaaje pale ambapo mwalimu anaruhusiwa kumkatalia mwanafunzi kufanya mtihani wake bila kibali cha mwalimu(LECTURER VISA) wakati mwanafunzi yule anaamini ana uwezo
  wa kuufanya?
  Nadhani kunahitajika ufafanuzi zaidi na ushirikishwaji wa wadau wote. Ni mawazo yangu binafsi hayo
   
 6. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #6
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kaka hapo labda uzumgumzie kuwa wanafunzi hawana taarifa ya kutosha na SPP. suala la wewe kujiona unaweza kufanya mtihani halina uhusiano na wewe kuwa na sifa za kufanya mtihani. mtahiniwa unaweza kuwa na sifa za kufanya mtihani,ukafanya na ukafeli, pia mtahiniwa unaweza ukawa hunasifa za kufanya mtihani wakati unao uwezo wa kufaulu.lecturer incharge akiona hujatimiza sifa za kufanya mtihani lazima akuzuie ndugu, haijalishi ni kupanga au la. kwa mfano. kama sheria inasema mwanafunzi lazima utengeneze riport tano mwalimu azione kabla ya mtihani, ukatengeneza nne, , labda moja hujafanya kwasababu uliugua au kwa matatizo mengine tu,lecturer incharge anaweza asitoe VISA ya wewe kwenda kwenye university exam, hilo laweza tokea wakati wewe umejiandaa vizuri tu na unauhakika utafaulu- hayo ndo mambo ya viwango kaka.
   
 7. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2010
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280
  utaratibu huu hausemi rufani inakatwaje, ukikorofishana na lecturer incharge umekwisha...anakufutia portfolio yote; wasiohudhuria je, ingefaa wahusika wafafanunue
  zaidi, lecturer mmoja aliwafokea live wenzie kwenye tukio la kupitisha SPP...yule babu angeondolewa misafara, ni mbogo!
   
Loading...