MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,209
- 2,389
Sorry wapendwa kwa kumjibia Michelle!!! Mi nimemwelewa hivi, sio tusiwasikilize wala wasiwe na malengo ya mbele hapana!! Ila tuwe waangalifu/makini..... Ni kweli kabisa kuna wanaume wanajua kabisa msichana huyu nikimuingia kwa gia ya kutaka tunda, kustarehe nk nk tu basi hatakubali, anakuja na gia ya kutaka kuoa, anaongelea ndoa, anakujengea picha ya maisha yenu, anakuteka in way kwamba akili yako inaona mnaishi kwenye ndoa kabisa....atakuita mke wangu, mama watoto wangu...ataanza kukuambia mtoto wetu ataitwa Paka Mweusi, yani basi tu ilimradi amefanikiwa kuiteka nafsi yako na akili yako. Mwisho wa yote anakuvuta anakufanyia alichokuwa anakitaka/kilenga anakubwaga hapo. Ule ushetani wake unaanza kuuona sasa hadi utajuta kupenda...wakati huo maisha yako yote umeyafungia kwake.....kwa hiyo hao watu wapo na wapo sana tuuuuuu!!!
Ookeey!