Kwa wadada watu wazima tu

prospa

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
554
156
kwa kinadada wenye umri kati ya 18-35.

Kama ungekuwa na uchaguzi kati ya wanaume wawili kwa ajili ya kuwa na serious relationship; wa kwanza anakuridhisha, kukufikisha na kukidhi haja zako kitandani, ni handsome, sio domo zege, na ana mahusiano ya kingono na wanawake wengine.

Wa pili hakuridhishi kitandani wala hakufikishi, sio handsome, domo zege na hana kabisa mahusiano na wanawake wengine.

Yupi kati ya hawa ungechagua? Na kwa sababu ipi?
 
duu kwa mara ya kwanza greaty thinkers wanakosa majibu
 
hahahahah hii komedi imetulia. Mkuu andaa script wapelekee bongo muvi utapiga hela sana.
 
Back
Top Bottom