mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,700
KWA MADEMU WA VYUO MKINICHUKIA POA TU.
Watu wanaowajua wakiwaona,wanahisi unampenda kweli,maana mahaba unamuonyesha hadharani,unambusu bila hofu...Watu wanajiuliza kwanini msichana mzuri kama wewe uko na jamaa ambae anaonekana AGE GO AGE WENT,hamfanani kiumri wala kiumbo na ki-wajihi..Kumbe una siri moyoni,humpendi kwa moyo ila kwa sababu ana hela,na wewe ni Mwanafunzi mwenye mahitaji,umeamua kujishikiza kama kifungo cha shati hadi umalize shule...
Mwanaume anajua kapata msomi,umetulia,kumbe mwenzangu una ajenda ya siri...Wanawke wana moyo,una miaka 19 unadate na jamaa lina miaka 47,jasho analotoa lina harufu ya Sikukuu ya uhuru mwaka 1961 ila upo tu kwa ajili ya PESA....Halafu mashosti zako bila haya wanakwambia, 'Msalimie Shem Handsome' huku chinichini wanakucheka...
Wanafunzi wa Kike wa Vyuo Vikuu,mko juu sana,uko radhi umegwe na jamaa bovuuu kisa hela,hata mkipiga picha Photopoint wana-edit wee poda ya Computer,jamaa bado hakolei hadi wanatamani wamwekee Microsoft Excel usoni!.