Kwa wadada na wamama tu

Vaginoplasty, also referred to as vaginal tightening, is a plastic surgery procedure designed to tighten the internal muscles of the vagina which may have become stretched through child birth. Good candidates for vaginoplasty include women who feel that the vaginal canal is too loose.

Kwa habari zaidi ingia hapa na hapa.
 
are u a woman???
Si kweli kuwa maji maji ya limao yanabana uke...
Fanya mazoezi ya Kegel utapata matokeo chanya na kurudia ukigoli wako...

#Am tryin to save your thread from wachakachuzi wasiojua maana ya MMU
 
hata mie nshawahi sikia hizo story kitaa, binafc sijawahi apply hizo mavitu, ngoja wakija wenye expernc kidogo weza pata majibu....
salamu zetu....
huwa nasikia kuwa ukinawia limao ukeni, uke unakuwa tight je ni kweli?? kama sio kweli ni nini kinaweza kuufanya uke kuwa tight??? mie tayari nina watoto nahisi maumbile yangu sio tight sana. msaada tafadhali.
gfsonwin, snowhite, Ciello na wadada au wamama wa MMU. natanguliza shukrani.
 
are u a woman???

the answers to the myth behind has nothing to do with somebody's gender, mimi ni mwanaume na nafahamu mengi kuwahusu kina mama likiwemo hili...do you got problem with that miss?
I thought you being mentioned in the main topic, you would have come with better answer than this;
Ciello said:
hata mie nshawahi sikia hizo story kitaa,
binafc sijawahi apply hizo mavitu, ngoja wakija
wenye expernc kidogo weza pata majibu....
Umeshindwa hata kuelewa angalizo langu chini, comments like yours wont help anyhow na ndio uchakachuzi utapoanza while people like us we're here to help
 
Hapana, usijaribu hata siku moja kuweka mboga/nyama/matunda yoyote ukeni please. Kama unataka uke kuwa tight jaribu mazoezi ya Kegel. Uke ni kama msuli fulani, ukiufanyisha mazoezi utaanza kukaza.
Jinsi ya kufanya mazoezi ya Kegel, unabana na kuachia misuli yako kama unavyobana na kuachia mkojo.

For detailed instructions please visit: Kegel exercises: A how-to guide for women - MayoClinic.com

Good luck!

salamu zetu....
huwa nasikia kuwa ukinawia limao ukeni, uke unakuwa tight je ni kweli?? kama sio kweli ni nini kinaweza kuufanya uke kuwa tight??? mie tayari nina watoto nahisi maumbile yangu sio tight sana. msaada tafadhali.
gfsonwin, snowhite, Ciello na wadada au wamama wa MMU. natanguliza shukrani.
 
.si kweli mdada, limao haisaidii unless unataka kuchubuka tu

hata wakikwambia uweke shabu, ndo utaharibu kabisa K itakuwa mdebwedo

mazoezi ya kegel ndo mwisho wa matatizo

na akina mama wa kitanzania mjifunze mazoezi kuweka mwili fit especially baada ya kujifungua husaidia viungo kurudi katika hali ya awali, sio kula mtori tuuuuuuuuuuuuu

na epuka kudumbukiza dumbukiza vitu huko chini......
 
Kegel, kegel, kegel. Wenzio we are still virgins take it from me. Mwanzo utaiona ngumu, lakini ukizoea unaweza kukata mkojo kati ukaenda kuchukua maji jikoni ukarudi kumalizia.

Wakati unakojoa, kata mkojo kila baada ya sekunde kadhaa, hold it kwa sekunde 5 then achia. Fanya hivyo hadi mwisho.

Ukiwa umekaa tu bored, working ama una mtu anakustress na hiwezi chomoka, fanya hii exercise. Bana muscles za ukeni na achia kila baada yavsekunde 5. Kumbuka kuhema.
 
Bwana weeh, ushabiki maandazi si nikanunua fem fresh (that feminine wash gel). Baada ya wiki najisikia kama nimekatwa na viwembe. Kidogo nimshike uchawi Paw. Nikajipeleka hospital kwa mambo mengine lakini nikamuambia dr naomba unipime stds. Akaniuliza why, kumuelezea akaniambia wala sikupimi, acha hiyo sabuni. Uzuri consultation ya Roulette na Riwa nyuma ya pazia ikanisaidia pia. Sikuamini, nimekomaje?
.si kweli mdada, limao haisaidii unless unataka kuchubuka tu

hata wakikwambia uweke shabu, ndo utaharibu kabisa K itakuwa mdebwedo

mazoezi ya kegel ndo mwisho wa matatizo

na akina mama wa kitanzania mjifunze mazoezi kuweka mwili fit especially baada ya kujifungua husaidia viungo kurudi katika hali ya awali, sio kula mtori tuuuuuuuuuuuuu

na epuka kudumbukiza dumbukiza vitu huko chini......
 
Last edited by a moderator:
uke umeumbwa na misuli sawa na misuli mingine yeyote ndani ya mwili. misuli ya uke hutanuka na kusinyaa kama ambavyo ya mikono ama miguu hutanuka na kusinyaa hivyo ku-enhance muscle movement.
ni wazi kwamba msuli wowote ukifanyiwa mazoezi basi hukaza na kuzuia kutepeta ama kulegea na ukitaka kuamini angalia mtu anayejikondesha kwa kustarve, na kisha mlinganishe anayejikondesha kwa kula na mazoezi. utagundua kwamba yule anayestarve nyama zake huvutika kama banzoka, ukimcompare na yule anayeanayefanya mazoezi ambaye nyama zake hujiumba katika umbo moja na zikashikamana sehem husika hivyo kuleta muonekano mzuri zaid.

kadhalika uke unahitaj mazoez hasa baada ya kujifungua na kama ulipata stitch basi mazoez lazima yanakuhusu sana tu, zoezi lenyewe ni kama walivyosema waliotangulia ila tu kwa kuongezea ni lazima ujue unafanya ili kupata matokeo gani.

unafanya mazoez ya kegel kwa nia ya kurudisha misuli ya uke, njia rahisi ni hii unakuwa unasukuma kama unataka kukojoa kisha unabana tena uke kama unakatiza mkojo, zoezi hili unaifanya wakati wowote uwe unakojoa ama umekaa ama hata umesimama. kuanza ndo shida ila ukizoea wala hupati shida yyte ile.

pendelea kukalia vitu vigumu kama jamvi ama kigoda zaid na ukiwa umekaa ukumbuke kufanya hivyo itarudi na kujikuta huna tena shida.

mwiko na mwiko kabisa kutumia vitu kama shabu, ndimu, sabuni na jeli za ukeni eti unaweka ukeni hizi zinaweza kukufanya ukajihisi unamagonjwa ya zinaa na pia huzidi kukufanya uake ukawa lapulapu. kumbuka uke uko very sensitive hasa kwa vitu ambavyo havijazoea kuingia humo na unapokea magonjwa kirahisi zaid na nyama zake ni laini sana.

naamin umenielewa.
 
nawashukuru wadau wote kwa michango yenu. je hilo zoezi linatakiwa kufanyika kila baada ya muda gani? let say asubuhi, mchana au jioni? pia ni kwa kipindi gani labda wiki kadhaa, mwezi ama miezi kadhaa? pia nimesikia kuna dawa (sina uhakika ni dawa,sabuni au lotion) toka ORIFLAME inasaidia kutight je ni kweli inasaidia? kuna mtu alishawahi kuitumia?
 
samahani, kwani mnaufanya nini hata unatepeta,
hii kitu bana dawa yake ni maji na sabuni tu zaidi sana angalia na chakula unachopenda kula, siyo kila leo unafakamia chips kuku huna hata mboga ya majani uone kama mwili utakuwa mzuri na zaidi labd ndo hayo mazoezi ambayo nayo ni mbwembwe tu, jitunzeni wadada, kuzaa watoto siyo waranti wa nanihii kutanuka bila mpangilio.
 
Si kweli kuwa maji maji ya limao yanabana uke...
Fanya mazoezi ya Kegel utapata matokeo chanya na kurudia ukigoli wako...

#Am tryin to save your thread from wachakachuzi wasiojua maana ya MMU
Umetisha mkuu, ujuzi huu umeupata lini.....you make me think unthinkable.
 
samahani, kwani mnaufanya nini hata unatepeta,
hii kitu bana dawa yake ni maji na sabuni tu zaidi sana angalia na chakula unachopenda kula, siyo kila leo unafakamia chips kuku huna hata mboga ya majani uone kama mwili utakuwa mzuri na zaidi labd ndo hayo mazoezi ambayo nayo ni mbwembwe tu, jitunzeni wadada, kuzaa watoto siyo waranti wa nanihii kutanuka bila mpangilio.

mamaangu sio kwamba natumbukiza vitu ndani yake ila ni kwa sababu ya kujifungua. pia mimi sio mpenzi wa chipsi hata kidogo. for your info sikumbuki ni lini mara ya mwisho kula chipsi. haya hayo maji na sabuni unayafanyaje?
 
Umetisha mkuu, ujuzi huu umeupata lini.....you make me think unthinkable.

Nimekua mtu wa kujifunza maarifa mengi ndio mengi ndugu yangu. Vilevile hupendelea sana kusoma vitabu vya mahusiano na saikolojia.
Mie ni mwanaume na wala usifikirie zaidi dada MadameX, maana nasi tuna haki ya kutambua Human Anatomy haswa kwenye maumbile ya uzazi wa ninyi mbavu zetu.
 
Inaelekea unapenda njia za shortcut. hakuna dawa. Solution ni kegel. Uzuri wake unaweza ukafanya muda wote, sehemu yoyote. Anza mara 3 kwa siku kwa dakika 5, halafu ongeza muda ukijisikia zaidi. Maumbile hutofautiana, ukitaka kujua kama imekuwa tight zaidi itabidi uitest halafu uamue kuongeza ama kupunguza mazoezi.

nawashukuru wadau wote kwa michango yenu. je hilo zoezi linatakiwa kufanyika kila baada ya muda gani? let say asubuhi, mchana au jioni? pia ni kwa kipindi gani labda wiki kadhaa, mwezi ama miezi kadhaa? pia nimesikia kuna dawa (sina uhakika ni dawa,sabuni au lotion) toka ORIFLAME inasaidia kutight je ni kweli inasaidia? kuna mtu alishawahi kuitumia?
 
Are you a woman? You don't sound like you know what your are talking about. inaelekea hujawahi kusikia wanawake wakichanwa au kuchanika wakati wa kujifungua. hakuna cha diet wala nini, na sabuni ndio tiba ya tightness? Really??:confused2:

samahani, kwani mnaufanya nini hata unatepeta,
hii kitu bana dawa yake ni maji na sabuni tu zaidi sana angalia na chakula unachopenda kula, siyo kila leo unafakamia chips kuku huna hata mboga ya majani uone kama mwili utakuwa mzuri na zaidi labd ndo hayo mazoezi ambayo nayo ni mbwembwe tu, jitunzeni wadada, kuzaa watoto siyo waranti wa nanihii kutanuka bila mpangilio.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom