Kwa wadada na kinamama walio wazuri na sifa karibu zote, wabaya hapana watafute Type yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wadada na kinamama walio wazuri na sifa karibu zote, wabaya hapana watafute Type yao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kwamtoro, Mar 29, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Naombeni mpokee kwa upendo wa dhati kutoka ndani kabisa ya moyo wangu, my ho hot Kiccciiiiii

  17702-ose-a8e177af00.jpg
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  wewe ni mpumbavu... Hili ni jukwaa la mapenzi, watu wanaleta mikasa yao ya kimapenzi na mahusiano na urafiki ili kusudi watu wengine waweze kuwasaidia,,wewe unaleta utani, ,, hivi vitoto vidogo vya chuo na form six leaverz ndo vinavyotuharibia forum yetu... Think n grow up son,
   
 3. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Hiyo title unamaanisha nini?????????????????????????????????????

  We ni mzuri?? Muone kwanza!!!
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo sura tu unaelekea kuwa nusu shoga ukishawishiwa utafanywa wewe.
   
 5. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280


  Pole! Nimesema kwa wazuri tu. Wewe hapana, hustaili kic yangu
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mmmmh!
  Kazi nzito.
   
 7. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  mwambie huyo.... Mpuuzi sana,,, dume zima unaliwa tigo
   
 8. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  hujui unaloliongea wewe mpuuzi.... Hao wadada wazuri wenyewe wanakuponda, si bora ukae kimya na kuwaomba mods wakufungie thread
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mleta sred ni ile aina ya midume inayowaonea wivu wanawake, hili linaombea kwenda Segerea likachezewe kwa kisingizio cha kulazimishwa
   
 10. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kazi ipo.
   
 11. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  hahahahahahaha,,, asante dada yangu,,,, hakuna kitu kibaya kama mwanaume kudhalilishwa na mwanamke kiasi hiki,,,sipati picha mleta thread ana hali gani huko aliko,,,
   
 12. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #12
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kazi ipo embu tupe definition ya uzuri
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kaniingia siku mbaya leo nimekaa kiugomviugomvi watu kama hawa hunifanya mood yangu irudi kwenye form,Namshukuru kwani nimepata kichaka cha kujisaidia
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Acha ujinga wewe!!!!
   
 15. M

  Marytina JF-Expert Member

  #15
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  kakimbia nilitaka kumshauri akamlipie ada za masomo huyo mrembo anayemwamini amsomeshe mpaka chuo (hii ingempa fundisho sana maishani)
   
 16. 4

  4 PRINCE Senior Member

  #16
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna mbaya hapa,MUNGU aliumba watu kwa mfano wake,unamaanisha nini ukisema,wazuri na wabaya?kila mbaya kwa mtu ni mzuri kwa mwingine.kwa taarifa yako wanawake wote ni wazuri.
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 160
  Anataka kupandisha nyongo za watu huyu mpotezee
   
 18. Sarafina1

  Sarafina1 Senior Member

  #18
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hatari kweli kweli, mie mbaya hebu nijipitie pembeni
   
 19. papaa-H

  papaa-H Member

  #19
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  umefanya utafiti au unawafananisha tu na huyu mwehu... be care with your coments kwani na wewe utakua huna tofauti na huyu uliyemwita mpumbavu
   
 20. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #20
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mie nimelipokea mwaya,na wewe muaaaaaaaahhhhhhhhhhhh!
   
Loading...