Kwa Wachumi; Nini adhari ya dolla sokoni kwa kushuka kwa Riba kwa bank zinazokopa BoT.

Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,467
3,227
Ndugu wana Jf
Wachumi ningependa kufahamu nini athari ya dhamani ya dola ya marekani dhidi ya kushuka kwa riba za benk wanaokopa BoT Kutoka 12% hadi 9%, Kuna wengine tuna vidola vyetu ndani visije shuka tukapoteza mitaji.
natanguliza shukrani kwa wachangiaji na maamini wengi watanufaika.
 
nadhani kama iyo itaathiri demand and supply ya dollar/Tsh ndio kutakuwa na mabadiliko ya thamani ya dollar. mfano kushuka kwa riba za BOT kunaongeza pesa kwenye mzunguko na ikapelekea ongezeko la kuingiza bidhaa toka nje ya nchi ambapo dollar itahitajika zaidi na kupelekea kuongezeka kwa thamani yake dhidi ya Tsh.ni kwamba hi issue haina uhusiano wa moja kwa moja.
 
asante, umedadavua vizuri mwana uchumi, lets mi hold my dollas
 
Back
Top Bottom