Kwa wachezaji Hawa wa Simba, lazima Boxer za Mo ziwe bodaboda

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,127
1,842
Wadau habari,nisiwachoshe sana,najua kila mpenda michezo haswa ligi yetu pendwa ya mpira wa miguu (Tpl) anayo taarifa ya wachezaji wa Simba a.k.a Omba Omba FC/wazee wa hamsa kupewa motisha ya pikipiki 'boxer' kwa kila mchezaji..hii sio stori,hii hapa chini ni list ya wachezaji ambao haitapita hata siku lazima,naposema lazima namaanisha,(kulingana na hali zao) wataziweka pikipiki hizo barabarani kama bodaboda,wengine zitabaki parking kama kumbukumbu au zitakuwa za kutembelea shamba boy na misele yao ya mtaani...
1.Adam Salamba (huyu hata viatu vya mpira hana,haitachukua hata siku kuingiza boxer road)
2.Mo Ibrahim
3. Dilunga
4.Ndemla
5.Asante Kwasi
6.Kapombe
Unaweza kuongezea na wengine...
 
Mkude
Tshabalala

Hawa nao watanufaika na zawadi ya kuwa bingwa wa ligi kuu kutoka kwa Tajiri Mo Dewji kwa kuingia barabarani kupiga boda
 
Back
Top Bottom