Kwa wabunge wateule watakaingia Bunge la 11 la JMT

diunal

JF-Expert Member
May 12, 2013
499
70
Kwanza hongereni kwa kuteuliwa na kuaminiwa na wananchi kuwawakilisha Bungeni kufanya majukumu yenu kwa ufanisi. Nachukua fursa hii kuwakumbusha kuwa kama kuna mbunge mwenye njozi ya kutaka k kuendelea kuwawakilisha wananchi bungeni baada ya miaka hii mitano asithubutu kufanya haya:-

1. Kuendekeza ushabiki wa vyama vya kisiasa bungeni badala ya kueleza shida za wananchi wake waliomtuma bungeni kuwasemea.

2. Kujipendekeza kwa serikali badala ya kuisimamia serikali.

Jifundisheni kwa walioonja joto ya jiwe ktk uchaguzi huu kwa kuukosa uwakilishi wao bungeni kwa kukumbana na maamuzi ya wananchi ktk sanduku la kura
 
Iunatushauri jinsi ya kutunza viti badala ya kutumia viti?
 
Back
Top Bottom