Kwa waajiri, naomba msaada, natafuta kazi hata ya kujitolea ( Volunteer)

ops

Senior Member
Feb 6, 2012
112
5
Habari za leo wadau wa jf? natafuta kazi hata ya kujitolea (volunteer) katika taasisi/ kampuni yoyote ile, nimesomea fani ya rasimali watu( human resources) ngazi ya shahada (degree) pia nina uzoefu katika Mauzo na Masoko, please naomba msaada. unaweza kuni PM, au mhassani84@yahoo.com, asanteh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom