Kwa wa wapenzi wa nyimbo za injili, naomba kujua kwaya gani iliimba huu wimbo

Bakulutu

JF-Expert Member
Nov 30, 2011
2,538
1,753
Kuna wimbo mmoja unaeleza habari ya Elisha alipo kwenda mto Yordani kukata kuni akiwa na watumishi wa Mfalme, ndipo shoka la mtumishi mmoja lika dondokea majini, lakini Elisha akatupa kijiti majini na shoka lika elea.
Inaimba kama Mamajusi wa Moshi ila sidhani kama ndio wenyewe.

NITASHUKURU KUIFAHAMU HATA KWAYA WIMBO AU KWAYA YENYEWE.
 
Na mimi natafuta songi Moja sijajua limeimbwa na kwaya Gani ila niliusikia one day kipindi cha Nyimbo miaka ya 1996-8 Radio Tumaini nadhani

Sauti ya Kwanza na ya pili wanaimba . Kumbuka siku ya mwisho eh ndugu''
An then wale wa sauti ya nne wanaitikia ''Inakungoja'' and then wale wa Sauti ya Tatu wanaimba Ebaba hapo mdundo wa enh emama'' enh.. ya nne wanamalizia ''Inakungoja''

Kumbuka siku ya mwisho eh ndugu, inakungoja eh baba enh mama enh
Jambo moja latokea...

nikiupata am sure nitaenjoy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom