Bakulutu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 2,544
- 1,760
Kuna wimbo mmoja unaeleza habari ya Elisha alipo kwenda mto Yordani kukata kuni akiwa na watumishi wa Mfalme, ndipo shoka la mtumishi mmoja lika dondokea majini, lakini Elisha akatupa kijiti majini na shoka lika elea.
Inaimba kama Mamajusi wa Moshi ila sidhani kama ndio wenyewe.
NITASHUKURU KUIFAHAMU HATA KWAYA WIMBO AU KWAYA YENYEWE.
Inaimba kama Mamajusi wa Moshi ila sidhani kama ndio wenyewe.
NITASHUKURU KUIFAHAMU HATA KWAYA WIMBO AU KWAYA YENYEWE.