Kwa wa mama

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Naomba kufahamu hili, umeshawahi kuwa mzazi (kupata mtoto/watoto) ila kabla ya hapo mzee alipenda sana kunyonya maembe bolibo (chuchuzi) na ulikuwa unajisikia raha na furaha katika kitendo hichi na kilikuwa kinakupelekea kuwa na muhemko wa ajabu na kufurahia penzi. Jee baada ya kupata mtoto/watoto na amelitumia/wamelitumia kama hotel yao kwa kuwakuza na wameacha kuitumia baada ya muda wao wa kutokulitumia tena kuisha na mzee akaanza mautundu yake upya ya kunyonya maembe bolibo huwa hisia zenu zinarudi kama awali au huwa zinapungua kutokana na watoto kuburudika na hotel yao?
Naomba mawazo yenye uzoefu na hili
 
Onyo: Ni marufuku kwa sisi wanaume kuchangia thread hii

sasa mbona umeshachangia.
anyway,mimi ni mama nisiye na mwana hivyo pia siruhusiwi kuchangia,nitakuja kucoment siku nikiwa na mwana coz leo hii ktk hili sina tofauti na kina baba,
 
raha nadhani inakuwa pale pale...sema,shape sometimes inabadilika...hivyo kutomvutia mzee.....:redfaces:
 
Mambo yote naamini yako kichwani/ ubongoni. Funguo za mihemko zinakaa huko.
 
raha nadhani inakuwa pale pale...sema,shape sometimes inabadilika...hivyo kutomvutia mzee.....:redfaces:

Wewe huna uhakika maana unadhani
Nikipata comments kama 20 hv zenye muelekeo 1 basi ntajua ni kweli
 
wewe huna uhakika maana unadhani
nikipata comments kama 20 hv zenye muelekeo 1 basi ntajua ni kweli

kimbweka,from my experience raha inabaki pale. Feelings za kunyonya mtoto hazifanani hata robo na feelings za kunyonywa na mr.
 
Kimbweka ngoma iko pale pale tena kama inazidi vileeeee??? Hakuna kinachopungua zaidi inaongezeka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom