Kwa vyovyote vile: Historia ya Tanzania haitawasahau Nape, Zitto, Lissu na Makonda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,875
141,809
Hapa namzungumzia Nape wa jengo la makao makuu ya UVCCM, namzungumzia Zitto yule wa Buzwagi, Tundu Lissu wa bunge la katiba na kijana Makonda wa vita ya madawa ya kulevya. Wanne hawa historia waliyoandika kwa ujasiri waliouonyesha katika nyakati tofauti tofauti hakika haitafutika. Je, yupo kijana niliyemsahau?........ Karibu!
 
Madawa ya kulevya hapo naona zilikuwa ni sifa tu,sidhani kama anastahili kukumbukwa.
 
Back
Top Bottom