Kwa vyama vya upinzani tu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,574
8,592
Napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza vyama vya upinzani mimi nataka kufahamu upinzani unapingana na nani?kwakuwa kwakitu nimekiona Igunga nikwamba wapizani wana ubinafsi wanafanya mpaka ccm inawagaragaza kilasiku kwasababu ya ubinafsi!kwakuwa ukiona aslimia za ccm na za upinzani inamaana wapinzani wangechukua jimbo!CCM wana wavuluga then wao wanagomba wanashindwa kuelewana na wanagombana nakila mmoja ana simamisha mgombea mwisho wanagawana kula ccm anaibuka mshindi!Nawashauri kama wanaweza wapeane majibo kama majimbo yauchaguzi yapo 3 wanagawana! Na wanapeana nguvu na wanayachukua mwisho wa siku Watajikuta wana kambi kubwa ya upinzani na kuweza kusimamisha miswaada!ambayo hainda tija kwa taifa wasiangalie maslahi ya mtu mmoja pekee na chama waangalie masilahi ya Taifa lasivyo Ccm itazidi kutuburuza.
 
Wapinzani wa kweli ni CDM,wengine wote ni waganga njaa tu!!!hawana lolote
 
Mkuu nchi hii hakuna wapinzani kuna wasaka madaraka tu. Kama wapinzani kweli na wana uchungu wa kuiondoa CCM madarakani (their common enemy) kwa nini wasikae na kukubaliana kuachiana badala ya kupingana hadi wanagawana kura na CCM inapeta?
 
Mbona wapo walioungana tayari ? CC CU MF - tatizo lipo kwenye kirefu cha MF !
 
wapinzani ni CDM tu wengine ni washiriki na wengine ni mahawala wa chama tawala
 
Chama ni Cuf, vingine ni makampuni, CDM ni kampuni ya wachagga, wamebadili staili ya kuiba badala ya kuvunja usiku sasa Wameanzisha CDM.
 
Chama ni Cuf, vingine ni makampuni, CDM ni kampuni ya wachagga, wamebadili staili ya kuiba badala ya kuvunja usiku sasa Wameanzisha CDM.

Can we freally tolarate this kind of behavior and discussion? Matusi haya ni makubwa MOds kwa kuwa Chadema ni chama cha wananchi why huyu kijana anatusi watu na tuko kimya ? Kuna haja gani kuandika kama hujawa tayari kuchangia ?
 
Mkuu tuwe wavumilivu au kam unaona haujapendezwa na comment zake bonyeza Report abuse button
 
Chama ni Cuf, vingine ni makampuni, CDM ni kampuni ya wachagga, wamebadili staili ya kuiba badala ya kuvunja usiku sasa Wameanzisha CDM.

Pamoja na kuwa uwezo wako wa kufikiri hauendani na slogan ya JF ambayo ni "The Home of Great Thinkers", labda nikusaidie tu kwamba kusema CDM ni chama au kampuni ya Wachagga actually is a great thing kwa sababu hata wewe unajua uwezo wa Wachagga katika vipimo vya mafanikio.
 
Back
Top Bottom