Kutumia lita 10 za mafuta zinatosha kwa kilo 25 za ngano kupikia maandazi?

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
1,351
1,282
Wakuu habari za jioni nilikua naomba kujuzwa. Kwa kiwango hiki cha unga kilo 25 ni sawa kutumia mafuta liter 10 kwenye mapishi ya maandazi. Natumia unga wa Azam wa maandazi. Na vip hakuna maujanja ya kufanya kutumia mafuta chini ya hapo.
 
Ukishayachoma hayo maandazi naomba nitumie japo kapicha huko pm ninywee chai
 
Back
Top Bottom