Nawasalimu ndugu zangu wana JMF ,,mimi ni kijana mwenzenu ninaplan Za kujenga nyumba yangu mwenyewe ili kuepukana na kero,usumbufu,na hata karaha za kupanga nataka na mimi kuitwa baba mwenye nyumba kama ninyi,,najua mlipitia changamoto nyingi na hata kukata tamaa lakin mlipigania mpaka mkajenga Naombeni mnipe mbinu mlizo tumia mpaka kufanikisha kumiliki mjengo wako kwa kweli ninatamani sana kujenga nyumba yangu mwenyewe Tayar hatua za kwanza kiwanja nimeshanunua sasa naanzia wapi?.na kipato na chotegemea ni mshara tu kwa mwez nalipwa kati ya laki8 mpaka laki9 tu. Naombeni mbinu mbalimbali mlizotumia mpaka kujenga nami nijenge,nawasilisha kwenu wamiliki wa nyumba.