Kwa vi tgs hivi tutaweza kujisomesha vyuo vikuu??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa vi tgs hivi tutaweza kujisomesha vyuo vikuu???

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kikwakwa, Feb 23, 2012.

 1. kikwakwa

  kikwakwa Senior Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna habari kwamba watumishi wote wa serikali ambao tunahitaji kujiendeleza kielimu katika vyuo vikuu hatuna haki/nafasi tena ya kupata mikopo kutoka bodi ya mikopo,eti tusomeshwe na halmashauri tunazofanyia kazi au tujisomeshe,hivi jamani kwa vi TGS A,B,C NA D tutaweza kweli kutmiza hiyo kiu ya kupata degree?AMA KWELI KWASASA VIBARUA WA SERIKALI TUMEKWISHA.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  TGS A na hizo nyingine ndio mshaara unarange ngapi?
   
 3. kikwakwa

  kikwakwa Senior Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 105
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TGS D ndo mshahara mkubwa kuliko hizo nyingine nao ni 454,000 bila makato hapo.
   
Loading...