Akaishike serikali masikio watamuelewa kweli..😅Legal Hakuna...
Illegal zipo
Naunga mkono hoja! Mfano wauzaji wa huu mjani 🌴 wanapiga sana hela. Yaani ukilima hekari zako kadhaa huko porini, hakika lazima utapata mpunga wa kutosha sana ukifanikiwa kuuza mzigo wote.Legal Hakuna...
Illegal zipo
Mjani au sio?Naunga mkono hoja! Mfano wauzaji wa huu mjani 🌴 wanapiga sana hela. Yaani ukilima hekari zako kadhaa huko porini, hakika lazima utapata mpunga wa kutosha sana ukifanikiwa kuuza mzigo wote.
Lima bangi vuna uza, uza ndaga,Rejea kichwa apo juu,tusaidiane wadau
AiseeLegal Hakuna...
Illegal zipo
Yes of courseBetting tu buku mbili Jackpot 600M
Zipo sana sema wewe hujaijua… nicheck inbox nikupe maelekezoLegal Hakuna...
Illegal zipo
Unamaanisha magendo na kukwepa kodi? Au mibange ma milungi?Legal Hakuna...
Illegal zipo
Biashara ya usafiRejea kichwa apo juu,tusaidiane wadau
Naweza kukucheki pia Mamy?Zipo sana sema wewe hujaijua… nicheck inbox nikupe maelekezo