Kwa uzembe wa Liverpool msimu huu, Nawapa Chelsea ubingwa wao

Kila timu iko hivyo hivyo mkuu hata Liverpool kutoa sare na Brighton hao na tumu zingine kwasababu middle zao kama Thiago hakuwepo.

Swala la injury lipo kwa kila timu,Tatizo Mashabiki wa Chelsea mnadhani mtachezaga hivyo hivyo wachezaji hawawezi kuumia.

Mlitakiwa kujua hivyo vitu kuanzia mwanzo hapo.
Achana tu na injury kuna upuuzi mwingine wa covid-19 tulikuwa tuna wakosa wachezaji 6 wa kikosi Cha kwanza na mpaka tukawa tunaomba mechi zetu zihairishwe Cha ajabu tukawa tunakataliwa Cha ajabu team zingine zinakubaliwa kama Arsenal, Liverpool, man city etc
 
Excuses nyingi, to make it short sema pumzi ilikata inatosha.
 
Achana tu na injury kuna upuuzi mwingine wa covid-19 tulikuwa tuna wakosa wachezaji 6 wa kikosi Cha kwanza na mpaka tukawa tunaomba mechi zetu zihairishwe Cha ajabu tukawa tunakataliwa Cha ajabu team zingine zinakubaliwa kama Arsenal, Liverpool, man city etc
Acha visingizio Uwezo wenu ndo umeishia hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom