Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

mshumbusi

JF-Expert Member
Oct 24, 2011
457
231
Habari JF.

Kama unaitaji kujua, kufanya biashara ya madini ndani ya Tanzania, basi njoo hapa na uulize kitu chochote utajibiwa. Kwa wanaotaka kuwekeza kwenye dhahabu, madini ya vito, yaliyo katwa na yasio katwa basi huu ndio wakati wa kutumia fursa hii adimu.

Karibu
 
Nina swali kuhusu soko la madini kama garnet,amethys,blue na red suphire na bei zake kwa kilo.
 
mshumbusi,
Yanapimiwa wapi haya madini ya chuma yenye smaku mkuu
Kama kuna anayefaha perfect dealer atuunganishe jamani..
atakaye fanikiwa anicheki hapa 0655427470
 
Yanapimiwa wapi haya madini ya chuma yenye smaku mkuu
Kama kuna anayefaham perfect dealer atuunganishe jamani..
atakaye fanikiwa anicheki hapa 0655427470
 
Yanapimiwa wapi haya madini ya chuma yenye smaku mkuu
Kama kuna anayefaha perfect dealer atuunganishe jamani..
atakaye fanikiwa anicheki hapa 0655427470
TMJ , masaki unashuka baharsa ukiuliza TMJ watakuonesha nenda kapime ukisha jua then tafuta reseni anza kutafuta mteja ila seleni ina cost 1000000 ....
 
mkuu nashkuru kwa ushauri wako
but kumbe ni process kidogo hii.. daah..!!!
 
Naomba kujua unatakiwa kuwa na vibali gani kutoka serukalini ili uweze kufanya biashara ya madini na kusafirisha madini?
 
Naomba kujua unatakiwa kuwa na vibali gani kutoka serukalini ili uweze kufanya biashara ya madini na kusafirisha madini?
Kuwa superdeals inahitaji kwanza usajiliwe na kamishina wa madini kanda .then unapewa leseni baada ya hapo unasafirisha bila shida kwa kukatwa mrahaba wa seerikali
 
kuwa superdeals inahitaji kwanza usajiliwe na kamishina wa madini kanda .then unapewa leseni baada ya hapo unasafirisha bila shida kwa kukatwa mrahaba wa seerikali
Asante mkuu

Hate me at your own risk!
 
Mimi ninataka kuifanya hii kazi unanishauri nianzie atua gani kabla sijaanza na pakununulia na kujua haya ni madini gani na bei ya kuuza na changamoto zake japo madini yapo mengi sana unisaidie zinazopatikana kwa wingi zsidi hapa kwetu?
 
Back
Top Bottom