Kwa uwezo wake mkubwa wa Akili, Kuchambua 'Masuala' na Kujieleza kwa Kujiamini Waziri wa Afya Dkt. Gwajima umeshauteka Moyo wangu

Kama unamtaka umeandika humu ili tufanyeje/tukusaidieje labda? Au mapenzi yako sisi yanatuhusu nini? Wote humu wanawapenzi wao sijawahi ona wanaandika humu ndani; tusichoshane aisee!
 
Back
Top Bottom