Kwa Utendaji huu wa Rais Magufuli, Wapinzani mtajisumbua kusimamisha mgombea 2020

Kati ya sisi na huyo mwana ccm mwenzako nani anaamini katika ujinga?
Mna mtindio wa ubongo nyoote ndio maana mnaamini katika ujinga na upofu
tapatalk_1569129196473.jpeg
 
Kashadanganywa na chakubanga huyo kuwa maisha yanapatikana lumumba
Mkuu mbona mada yako inaonesha una maisha magumu sana stress mpaka kwenye ubongo lwenye cerebropontine angle??

Tafuta hela mkuu achana na lobbying za wanasiasa tena wa ccm.
 
Swala ujenzi Wa barabara Ni kweli, ila swala la maisha kuwa nafuu hapana, maisha ya kijijini Ni magumu kwelikweli.kuhusu uchaguzi kwa vile tume ni yake aweza pata 99.999%
 
Uko sahihi. Tunataka Tanzania ya Kijani
Nimetembea kila sehemu ya Tanzania huyu Rais anachapa kazi kila sehemu nchi inajengwa kilichonifurahiaha zaidi pamoja na ujenzi wa miundombinu na miradi mikubwa ya kimkakati lakini ameleta ahueni kwa mamantilie, machinga na wakulima wanaheshimika wanachapa kazi anayempinga Rais Jpm ni wakala wa shetani
 
Back
Top Bottom