Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

Mama anakusanya pesa.

Tatizo ni kuwa huwezi kuona impact ya makusanyo haya ndani ya kipindi cha muda mfupi!

Tusubiri, akusanye then tuone utekelezaji wa makusanyo haya, maana yake ni kuwa! matokeo ya awali ya makusanyo haya tutaanza kuyaona baada ya miezi 5 hadi sita ijayo toka sasa.

#Tozo zinauma kwakweli
Nahifadhi comment yako Hii..
 
Watu wasiozidi 6 tu ndani ya CCM ndiyo huamua nani awe Rais wa nchi akiwemo yeye Samia kama Rais.

Sasa kwa katiba hii usijidanganye ndugu kuchukua form 2025 utajichosha tu.

Huyu Mama 2025 atashughulilikwa na mfumo dume pasi shaka. Alipoenda Malawi juzi alikutana na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joyce Banda ambaye alijikuta anashughulikiwa na mfumo dume.
 
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo.

Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
Rudi kwenye Ilani ya uchaguzi then utajua direction.
Matizo ya Nchi hii ni tozo?.

#Tuache kudeka.
 
Hahahahahaha kuna wazee wa PAYE wao kila mwezi wanakamuliwa kimyakimya, wakilalamika huwa tunawaambia hakuna tajiri aliye wahi kuajiriwa. Wakati wafanyakazi wanakamuliwa unakuta kila mwezi mtu analimwa 500K wakati huku uraiani mtu ana mtaji wa 200mil analipa makadiroo ya 2mil mwaka mzima ikiwa 500k kila miezi mitatu.

Either uweke watu wengi kwenye uzarishaji ili wazarishaji wawe wengi then ukusanye kodi kwa wengi (HII AKILI HATUNA MPAKA LEO) au uchanje watu kodi kila mahala mwisho wasiku kila mtu ataacha kuishi kizembe ili akimbizane na kipato alipe kodi.

wa PAYE wanalimwa kweli kweli serikali inachukua up to 30% kwa sector binafsi
 
Wakulaumiwa wa kwanza ni Bunge wakifuatiwa na serikali...Bunge ndo linalopitisha sheria zote hizi kandamizi, hata hawahoji sheria ina-impact vipi raia

Bunge lina-enable mambo yote haya...lakini utashangaa Haya mambo yote tunasahau na 2025 mtu anaenda kwenye kampeni ya chama fulani pale Kirumba , Mwanza akijibinua kiuno akisema "Fulani fulani mama lao" 🤣🤣

chezea kijani ww
 
Huyu Mama 2025 atashughulilikwa na mfumo dume pasi shaka. Alipoenda Malawi juzi alikutana na aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joyce Banda ambaye alijikuta anashughulikiwa na mfumo dume.
CCM bwana. Atapita bila wasi wasi. Wote majizi inapofika uchaguzi wanalindana wahakikishe hawatoki madarakani
 
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo.

Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
Wote wako sawasawa tu. Ni madhalimu vilevile kama mkuki mdogo na kwa mkuki mkubwa.
 
Sasa nikuambie hilo suala la elimu bure lipo tu kwenye midomo ya hao watu.Ukisomesha wanao shule hizi za kayumba ndio utajua kuna elimu bure au porojo ni kama pia wazee matibabu bure hicho kitu hamna au ile wanaita bima ya afya ni utapelitapeli tu
Kwa mtazamo wangu elimu bure ilikuwa ni cheap politics za Magu, ifutwe kabisa!! Itakuja kutengeneza kizazin cha ajabu kabisa cha elimu!! Sioni ubaya wazazi kuchangia hata laki 1 kwa mwezi, itasaidia kutengeneza sense of responsibility pia
 
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo.

Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
Tatizo nalo liona ni juhudi za watu kujaribu kufuba au kuua "legacy" ya ambayo italeta madhara makubwa ktk nchi kwani uelewa wa wananchi sasa hivi umebadilika. Kuhusu Tozo sio mbaya bali inatakiwa iende na mzimu wa kujua kama nchi tunahitaji vitu gani , ili tusonge mbele kimaendeleo, kiuchumi na kiajira uwekezaji wetu Kulenge vitu gani. " JNHEP" SGR daraja la Busisi n.k .
Na asiwaachie "wale wafanya biashara wanaompigia simu au kumuona " ndio wampe muongozo wa kukuza uchumi.
Wao watataka malori yaendele na visymbion na hapa ndio naona kuna tatizo na jingine ni la wanasiasa wetu uchwara kutaka kuhodhi mambo Mengi ya kiuchumi na kisiasa ambapo hii itatuletea matatizo makubwa.
 
Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo.

Ila sasa sijui nchi inaenda na kuelekea wapi. No direction, miezi 4 nchi imesimama, hatujui direction ni ipi. Viongozi wasaidizi wa Rais nao wapo wapo, hawamshauri Rais vizuri. Naona kama viongozi washakata tamaa, hawajui waanzie wapi na kushia wapi.

JPM alisema atakumbukwa. Kwa kweli wananchi wanamkumbuka sana. Kila angle saizi ni tozo tu. Leo limekuja lingine la kupiga mziki utalimwa tozo, wenye gym utakimwa tozo. Kila angle saizi ni tozo. Namfiki washauri wanashindwa kumshauri vyema Rais.

Anyway. Ukweli ni kwamba JPM angeiacha Tanzania 2025 sehwmu bora zaidi kuliko namna tunavyoenda sasa ambapo hatujui hata uelekeo.

Kwa mantiki hiyo, akiwa na busara Mama 2025 angestafu iwe ni heshima ya kutupitisha katika mpito. But kwenye perfomance is Zero compared na mtangulizi wake
Mitano tena Mama mpk kieleweke tunataka maendeleo idara za Elimu(Msingi&sec) Afya, kilimo, miundombinu ya Barabara n.K.
Naamin hakuna nchi duniani iliyopata MAendeleo bila wananchi wake kuumia/kuteseka kwenye kodi
Screenshot_20210821-160507.jpg
 
Kwa mtazamo wangu elimu bure ilikuwa ni cheap politics za Magu, ifutwe kabisa!! Itakuja kutengeneza kizazin cha ajabu kabisa cha elimu!! Sioni ubaya wazazi kuchangia hata laki 1 kwa mwezi, itasaidia kutengeneza sense of responsibility pia
Kabisa mkuu,ni upuuzi tu aliokuja nao jiwe kujitwalia tu utukufu lakini kiuhalisia hicho kitu kitu kinachoitwa elimu bure haki-exist
 
Mitano tena Mama mpk kieleweke tunataka maendeleo idara za Elimu(Msingi&sec) Afya, kilimo, miundombinu ya Barabara n.K.
Naamin hakuna nchi duniani iliyopata MAendeleo bila wananchi wake kuumia/kuteseka kwenye kodiView attachment 1902424
Ni kweli kabisa kama tunataka kujitegemea kwa maana halisi basi tutambue kuwa kodi hazikwepeki.

Mzungu ana matatizo rundo hawezi kila siku akawa ndio mwokozi wa bajeti yetu.
 
Pamoja na mapungufu yake, JPM alikuwa ana uwezo wa kumiliki maamuzi yake katika kila jambo. Hili lilimfanya ajiamini na kusimamia mawazo/maamuzi yake hata kama yalipingwa na ulimwengu mzima.

Sasa kwa mama yetu ni kama vile haamini bado kuwa yeye ndie raisi, ni kama vile hajui nguvu aliyokuwa nayo na mbaya zaidi ni wazi kaweka bayana kwa washauri wake kuwa hana dira. Hili linawapa nguvu wasaidizi wake kufanya maamuzi bila kumshirikisha ipaswavyo ama kupindisha uhalisia hasa wa athari ya maamuzi hayo. Hii inamgharimu mama pale athari inapakuwa hasi, inabidi kutoa kauli kutuliza jazba ambapo in reality linafikirisha juu ya alikuwa wapi mambo yakiamuliwa.

Japo kuna baadhi ya watu watapinga kwa vile wamampenda mama, ila ni wazi mama hajui anakokwenda, hana dira na hana kauli katika maamuzi yake.

Na bahati mbaya yake zaidi ni kitendo cha kutanguliwa na mtu kama Magufuli ambae alama yake hata kama si nzuri ilikuwa ni kubwa. Kwa sasa mama kila akifanyacho anamithilishwa na Mafuguli kwa mizani ya kuwa yeye ni dhaifu, kiasi uwepo wake hauna tofauti yeyote na kutokuwepo kwake. Rejea vikauli kadhaa vya maelekezo alivyovitoa ambavyo vilipuuzwa tu.
Wewe ndio hujaelewa dira yake, tuambie dira ya magufuli ilikua ni ipi?
 
Back
Top Bottom