Nahifadhi comment yako Hii..Mama anakusanya pesa.
Tatizo ni kuwa huwezi kuona impact ya makusanyo haya ndani ya kipindi cha muda mfupi!
Tusubiri, akusanye then tuone utekelezaji wa makusanyo haya, maana yake ni kuwa! matokeo ya awali ya makusanyo haya tutaanza kuyaona baada ya miezi 5 hadi sita ijayo toka sasa.
#Tozo zinauma kwakweli