Kwa utaratibu huu mpya wa CCM 2020, ni nani atapona ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Siri ya kuwapata Wabunge CCM kupitia kura za maoni :

Ilizoeleka kwamba , wagongea nafasi za Ubunge huanza kuchujwa ngazi ya Wilaya then Mkoa na mwishowe Taifa ( Halmashauri Kuu na Kamati Kuu )!

Sasa nimetonywa kwamba inakuwa kinyume chake.

Kukatana kunaanzia juu halafu chini vikao vinabariki tu na wananchi kupiga kura za maoni.

Nape atapona kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hainihusu ,Mimi nalima vitunguu

jibu liko wazi

Umekurupuka kruuuuu, sasa umeandika nini? Kwanini msihangaike kumtoa mboye mahabusu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri ya kuwapata Wabunge CCM kupitia kura za maoni :

Ilizoeleka kwamba , wagongea nafasi za Ubunge huanza kuchujwa ngazi ya Wilaya then Mkoa na mwishowe Taifa ( Halmashauri Kuu na Kamati Kuu )!

Sasa nimetonywa kwamba inakuwa kinyume chake.

Kukatana kunaanzia juu halafu chini vikao vinabariki tu na wananchi kupiga kura za maoni.

Nape atapona kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni utaratibu mzuri CCM inataka kuwa na wabunge wote wenye sifa na uwezo wa kufanya kazi za uwaziri.....siyo kama ilivyo sasa PhD bungeni unazitafuta kwa tochi.

Kwa kifupi wabunge aina ya kibajaji na msukuma hawans nafasi katika bunge lijalo!
 
Liko wazi hata msukuma wa Geita analijua hilo kumbuka keshawahi kwaruzana na bashite thus anamshambulia sana TL ni kama njia ya kumfurahisha mfalme ili akumbukwe teuzi.
 
Ni utaratibu mzuri CCM inataka kuwa na wabunge wote wenye sifa na uwezo wa kufanya kazi za uwaziri.....siyo kama ilivyo sasa PhD bungeni unazitafuta kwa tochi.

Kwa kifupi wabunge aina ya kibajaji na msukuma hawans nafasi katika bunge lijalo!

Safi sana wanaccm wapangiwe wa kumchagua sio wao wapange jina wao ni kupiga kura,ila tusije shangaa wabunge wote wakawa wasukuma hakuna kinachoshindikana.
 
Siri ya kuwapata Wabunge CCM kupitia kura za maoni :

Ilizoeleka kwamba , wagongea nafasi za Ubunge huanza kuchujwa ngazi ya Wilaya then Mkoa na mwishowe Taifa ( Halmashauri Kuu na Kamati Kuu )!

Sasa nimetonywa kwamba inakuwa kinyume chake.

Kukatana kunaanzia juu halafu chini vikao vinabariki tu na wananchi kupiga kura za maoni.

Nape atapona kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
1550772595919.png
 
Safi sana wanaccm wapangiwe wa kumchagua sio wao wapange jina wao ni kupiga kura,ila tusije shangaa wabunge wote wakawa wasukuma hakuna kinachoshindikana.
Hata wote wakiwa wachaga kama chadema ni poa tu cha muhimu uwezo!
 
Siri ya kuwapata Wabunge CCM kupitia kura za maoni :

Ilizoeleka kwamba , wagongea nafasi za Ubunge huanza kuchujwa ngazi ya Wilaya then Mkoa na mwishowe Taifa ( Halmashauri Kuu na Kamati Kuu )!

Sasa nimetonywa kwamba inakuwa kinyume chake.

Kukatana kunaanzia juu halafu chini vikao vinabariki tu na wananchi kupiga kura za maoni.

Nape atapona kweli ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani lazima awe mbunge wa ccm tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom