Ushahidi ni kwamba ubongo wa binadamu una matumizi 100%, ila sehemu ambayo inatakiwa kutumika ni 10% tu na hiyo sehemu inaitwa neuron katika ubongo, na 90% inayobakia inaitwa glacial cell ambazo kazi yake ni kusaidia neuron kufanya kazi ila hata hivyo wanasayansi wameshindwa kuelezea matumizi mengine ya hiyo 90% iliyobakia.
Hivyo binadamu ambaye anatumia kiasi kikubwa cha akili ni 8% tu na wengine wengi tumo kwenye 7%, 6%, 5%, na 4% ila kuna wengine wanaotumia 2%, 1% hapa nazungumzia vichaa na watu wengine wenye matatizo ya akili na 0% hapa nazungumzia binadamu aliyefariki.
Kwa msaada soma majalida ya BBC future na American Psychological Department, Ensyclopidia n.k
Hapo kwenye nyekundu naomba unifahamishe hiyo statement "inatakiwa kutumika", ni kwa maelekezo au maagizo ya nani?
Pia naomba uniwekee link inayoelezea huo utaalamu.
Hapa chini nakuwekea definition ya "neuron", naomba wewe uniwekee definition ya hicho ulichokiita "glacial cell".
A neuron (/ˈnjʊərɒn/ nyewr-on or /ˈnʊərɒn/ newr-on, also known as a neurone[1] or nerve cell) is an electricallyexcitable cell that processes and transmits information through electrical and chemical signals. These signals between neurons occur via synapses, specialized connections with other cells. Neurons can connect to each other to formneural networks. Neurons are the core components of the brain and spinal cord of the central nervous system (CNS), and of the ganglia of the peripheral nervous system (PNS).(kwa msaada wa wikipedia)