Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,017
- 3,655
Kunao uwezekano mkubwa neno "SIASA" halieleweki kwetu tulio wengi.
Ukipitia hotuba,maagizo,makongamano,harakati za chaguzi,magazetini,na katika vyombo vya habari neno hili limefafanuliwa kumaamisha mambo kadha wa kadha. Na kila ukijaribu kuangalia maana zake,utakuta inategemea na alivyoelewa msemaji,na siyo anayeambiwa. Nitatoa mifano.
1. Siasa ni Kilimo
2. Acha siasa,nenda kalime
3. Siasa yetu ni ya Ujamaa na Kujitegamea.
4. Hakuna siasa hadi 2020
5. Mwanamuziki atakayeiimba mambo ya siasa..
6. Siasa ndo kila kitu kuanzia viwanda,ajira,nk.
Hii ni mifano (Nukuu) michache,na unaweza kuona jinsi neno hili linavyotumika na watu tofauti kwa maana tofauti. Waliotamka hayo maneno,ni viongozi mashuri,wanaotegemewa na kuaminiwa na wananchi
. Ukirudi kwenye maana halisi ya "siasa" au kwa kiingereza "politics" kwa kutumia kamusi ya kiswahili au kiingereza,utagundua jambo.
Endapo,neno hili tunataka litumuke kwa maana ya Kitanzania tu,ni vyema jamii ipate ufafanuzi stahiki nini maana ya "siasa".