Kwa ushindi wa jana dhidi ya Chelsea, Liverpool imevuna mamilioni ya fedha

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,211
5,937
The Liverpool Echo report that both Premier League sides appearing in the game stand to receive €3.5m (£3.2m) in prize money for simply turning up, whilst there is also a further €1m (£920k) on offer to the team that lifts the trophy.

4,120,000 Pound sterling equals
11,481,822,000.00 Tanzanian Shillings
 
Mbona hela ndogo sana.
Hupati hata kinda

Maandalizi yote yale alaf bingwa anakula io ?
 
The Liverpool Echo report that both Premier League sides appearing in the game stand to receive €3.5m (£3.2m) in prize money for simply turning up, whilst there is also a further €1m (£920k) on offer to the team that lifts the trophy.

4,120,000 Pound sterling equals
11,481,822,000.00 Tanzanian Shillings
Kwa standard za ulaya Ni hela ndogo Sana mkuu. Inapitwa Hadi na kiingilio Cha mechi 1, ndio maana Hilo kombe hata watu hawalifuatilii.
 
Sikubalian na ww hata kidogo, unajua bingwa wa carabao na FA wanapata hela kiduchu kuliko hiyo ya bingwa wa super cup?
Ina maana mapato mengi ya vilabu vya huko majuu ni mauzo ya wachezaji, Viingilio,wadhamini,matangazo ya biashara kuliko pesa za makombe?
 
Ina maana mapato mengi ya vilabu vya huko majuu ni mauzo ya wachezaji, Viingilio,wadhamini,matangazo ya biashara kuliko pesa za makombe?
Mfano kombe lenye Hela zaidi Uefa champions league Kila stage unayovuka unapewa Hela ndefu. Huu Ni mtiririko wa Hela.

1. Ukifuzu makundi unapata 15M
2. Kila mechi ya makundi utakayoshinda unapata 2.7m na ukitoa droo unapata 0.9M
3. Ukifuzu 16 Bora unapata 9.5M
4. Ukifuzu robo unapata 10.5
5. Ukifuzu nusu 12m
6. Bingwa 19m na mshindi wa pili 15M

Assume Timu imeshinda mechi zote za makundi na ikaenda Hadi kuwa bingwa.

15+(2.7*6)+9.5+10.5+12+19 hii inakuwa Ni Kama 82M

Hivyo Euro milioni 82 kwa bingwa,

Hapa ndio unaona kufuzu tu makundi Uefa unapata Hela nyingi mara 3 zaidi ya bingwa wa super cup, ndio maana tunasema Ni hela ndogo.
 
Back
Top Bottom