Kwa usajili unaofanywa na CHADEMA, isahau kuchukua nchi

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,468
6,354
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm
 
Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
 
Kwanini hamkuyachimba hayo madudu alipokuwa huko?.Karibu Nyalandu uongeze nguvu.
 
Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
Umemuandikia hoja imara. Akijipepetua kuijibu nistue. Anatakiwa ajibu huku anachungulia kwenye pembe ya nyumba Lumumba wasimuone.
 
Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
Hoja ni kwamba, ukiwa mwizi, ukivuliwa nyadhifa, ukiwa fisadi, unahamia chadema fastaaa wanakusafisha! Any thing more!??
 
Hakuna anayepanik na mamluki kuondoka zizini tuna hazina kubwa ya viongozi bora na sio bora viongozi. So kuondka kwa nyarandu kumetoa nafasi ya ccm kufanya vizuri zaidi sababu alikuwa kikwazo kwa mujibu wa chadema wenyewe. So kazi yenu chhadema ni kuchukua mafisadi, wauza nyuchi, na viongozi wanaooneka kupwaya ccm. So kuweni kama fisi ambaye simba akimaliza kula huja na kutafuna mifupa
 
Attachments

  • VID-20171030-WA0040.mp4
    4.3 MB · Views: 44
Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
Msafara wa mamba na kenge wamo!
huu ni ukweli usiopingika chadema kinasajiri watu wachafu ndio mana kitasubiri sana katika kushika dola
 
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm
Aliyekutuma mwambie umebuma. So unataka kusema nyie ccm ni wachafu kiasi hicho?

Pia mimi nina swali kwako, kwanini mtu akielimika kidogo (rejea twaweza) au akipata akili anahama ccm?
 
Hakuna anayepanik na mamluki kuondoka zizini tuna hazina kubwa ya viongozi bora na sio bora viongozi. So kuondka kwa nyarandu kumetoa nafasi ya ccm kufanya vizuri zaidi sababu alikuwa kikwazo kwa mujibu wa chadema wenyewe. So kazi yenu chhadema ni kuchukua mafisadi, wauza nyuchi, na viongozi wanaooneka kupwaya ccm. So kuweni kama fisi ambaye simba akimaliza kula huja na kutafuna mifupa
Una uhakika simba kamaliza kula au kageuka kakuta chakula hakuna so unajificha kwa kusema umemaliza kula. Hakika chama hiki kinaenda kufa, mtabaki na polisi tu.
 
Aliyekutuma mwambie umebuma. So unataka kusema nyie ccm ni wachafu kiasi hicho?

Pia mimi nina swali kwako, kwanini mtu akielimika kidogo (rejea twaweza) au akipata akili anahama ccm?
Nyarandu amezikwapua za kutosha!
kwa sasa amebanwa kaona awe mpinzani
 
Nani? Kaondoka waziri mkuu aliyefukuzwa, kaondoka ,mzee wa kudai "ccm imekata pumzi" na sasa hajulikani alipo na chama kinasonga mbele itakuwa huyu mwizi wa Twiga wetu!!?
Aliiba kipindi gani? wakati yuko na nyie wezi au baada ya kuhama? Au mmemfukuza nyie? vp kama aliiba kwa ajili ya chama? usijali ni utani tu
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom