Kwa usajili unaofanywa na CHADEMA, isahau kuchukua nchi

Dr Slaa aliwaambia wanatoa mavi chooni wanaleta sebuleni, huyo Nyalandu tulishamnyima uwaziri na alikua yupo kwenye pipeline ya kwenda kwa pilato soon mtamuona huko,

Chadema bila mafisadi haiwezekani nimepata raha kuona huu usajili sababu saivi itakua ajabu kwa chadema kukemea ufisadi sababu wanao na wanautetea hili 2020 litakua mtaji wetu na tutaanza nalo kwenye udiwani kesho kutwa.
 
Hii ni propaganda safi sana kwenye uchaguzi mdogo hivi karibuni yaani ni chadema ya mafisadi, mafisadi na chadema wananchi watatuelewa kwa urahisi mno
 
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm

Chadema ilihitaji akina warioba, butiku, shivji!

ilihitaji akina mwandosya! akina hata membe si mbaya sana! ilihitaji kusajiri akina Kilango, malecela n.k wale ambao wakienda chadema mnaona reflection na nuru ya utakatifu..ilihitaji akina slaa, kitila na zitto wabaki..tuweni serious

sio akina lowasa jamani! hii hiki kituko kilichojizika na kuidumbukiza chadema shimoni kinatisha
 
Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
 
Nani? Kaondoka waziri mkuu aliyefukuzwa, kaondoka ,mzee wa kudai "ccm imekata pumzi" na sasa hajulikani alipo na chama kinasonga mbele itakuwa huyu mwizi wa Twiga wetu!!?
Kumbuka waziri hawez kumzunguka bosi wake,ivyo kweny kuuza wwnyam hata bosi wake aliusika
 
Kingunge hajawahi kuhama ccm wala hajawahi kujiunga na chama chochote cha siasa tofauti na ccm
 
CCM wana tafuta pa kujifichia, kwani kila anaye kihama chama ni mbaya, tulieni dawa iingie vizuri bado kuna dose za haja msitikisike tulieni tuli sindano ichomwe.
 
huyu sio siri ni mbaya!
fanyeni usajili wa watu kama kina Bashe, Membe, Nape nk uone kama mtu atasema ni wabaya!
 
Chadema ilihitaji akina warioba, butiku, shivji!

ilihitaji akina mwandosya! akina hata membe si mbaya sana! ilihitaji kusajiri akina Kilango, malecela n.k wale ambao wakienda chadema mnaona reflection na nuru ya utakatifu..ilihitaji akina slaa, kitila na zitto wabaki..tuweni serious

sio akina lowasa jamani! hii hiki kituko kilichojizika na Luis in bulk za chadema shimoni kinatisha
Wameamua kufanya political recycling staili ya kenya.
 
Kumbuka waziri hawez kumzunguka bosi wake,ivyo kweny kuuza wwnyam hata bosi wake aliusika
Ndiyo maana wengine tunasema kama kweli magufuli yuko serious, kila kaburi lifukuliwe. Unaweza kuta tunashangilia dola milioni 300 za Barrick kumbe hawa waliouza maliasili zetu wameficha mabilioni ya dola ughaibuni.
 
Atashughulikiwa na nani mwenye mikono safi?

Miaka inaenda., Je Lowasa alishashughulikiwa?

Mwakyembe aliyesema anatembea na ushahidi kwenye briefcase yake. Vipi ameipoteza ile briefcase yake?
Kumbuka hata Mnyika alituhakikishia kuwa anaushahidi wa ufisadi wa Lowasa. na pia chadema kwa ujumla walimuita Lowasa fisadi. nililo gundua chadema ni wanauwezo wa kuchafua na kusafisha.
 
Wakuu
kwa haraka na mshitukizo, baada ya Lazaro Nyarandu kuachia ngazi aliomba kusajiriwa na chadema, bila ajizi chadema kimesajiri

Kuanzia mtaani hadi mitandao naona watu wanashangilia usajili huu, ukweli mchungu usajiri wa watu calibler ya Nyarandu hautakisaidia chama kushika dola katika nchi hii

Kwa hali ya siasa ilivyo hapa nchini, chadema kinahitaji kusajili wanachama wasafi wasio na kando kando ya ufisadi

Kila mtu ni shahidi, humu leo baada ya kujitangaza tu Nyarandu amechimbwa sana na madudu yake aliyokuwa akiyafanya kipindi cha uwaziri wake yamewekwa wazi

Sasa kwa style hii chama kitakuwa kinatumia muda wake na nguvu nyingi kumnadi huyu mtu kama ilivyokuwa kwa waziri mstaafu Lowasa(angepaswa kuwa rais)

Chadema kiwe makini na usajiri wa hawa watu kama kweli kinania ya kuchukua dola toka ccm
Mwehu nini? Kwani kuna usajili utafanyika wa kutoa wanachama nje ya nchi?
 
Ni Nani asietoka ccm? Na unatakiwa ujielewe kuwa watu wakiwa ccm hata akifanya madudu analindwa na kubebwa haanikwi kwa media lakini akihama kila kitu kinawekwa Wazi mengine kusingiziwa ili tu uonekane hufai, ila nachojua ni kuwa kila mtu anahaki ya kutubu na kuaminika kama kawaida sasa Usajili huu mpya ni wawatu waliochoka kutumika kwa kuogoppa kuibuliwa siri zao inamaana yupo tayari kuanikwa hadharani ndo maana katoka bila kificho, huo ndiyo ukweli halisi
 
Kumbe huko kwenye Chama cha mapinduzi kuna Watu wengi wachafu! Sasa swali imekuwa Chama cha mapinduzi kimekuwa kinashinda na Watu hawa Chafu lakini ambao wakihama Chama kinachowachukua kama wanachama hakiwezi kushika dola? Hoja hasa nini?
Hapo ndo pakujua kuwa watu wameshikiwa akili, ula ukweli ni kwamba ccm ipo kwenye down kali na ipo kwenye kasi ya ajabu isipo tumika hekima katika kupunguza mwendo ccm inkuja kupata ajali kubwa sana tena sana na itaacha majeruhi wengi sana kama sio vifo
 
Nani? Kaondoka waziri mkuu aliyefukuzwa, kaondoka ,mzee wa kudai "ccm imekata pumzi" na sasa hajulikani alipo na chama kinasonga mbele itakuwa huyu mwizi wa Twiga wetu!!?
Haha watu waliuza nyumba za serikali na sasa ndio mashujaa? Walipunguza hadi vipimo vya barabara wapate 10% leo ndio wazalendo, waliuza nyumba kwa vimada takuwa nyalandu bhana .. hatutashangaa hata siku mkisema sio mtanzania
 
Back
Top Bottom