Kwa urefu huu nawashauri Zitto, Lissu na wengineo msitie mguu

Serikali inakunyima haki ipi mkuu? Ushawahi kuzuiwa kutoka nje ya nyumba yako? ushawahi kuzuiwa kwenda hospital ukapate tiba yako? ushawahi kukatazwa usipande basi au kutembea na gari yako? Ushawahi kukatazwa kula chakula chako? I mean hiyo haki unayozungumzia hapa inahusu zaidi masilahi ya wanasiasa katika harakati zao za kutafuta kupiga hela kupitia vikao vya katiba kama ilivyotokea kwa ile katiba ya mwanzo. Ww kama mwananchi wa kawaida unatumiwa tu kama daraja na wanasiasa hao ili wafikie malengo yao. Ila swala la kunyimwa haki raia kama raia halina mashiko.
Haki zangu ni zaidi ya hizo ulizoorodhesha,Mimi sikuwahi kutumika/wala kutumwa na yeyote.
Ninapohitaji Katiba Mpya in kukataa hii chakavu ambayo inatumiwa na wanasiasa walafi wa CCM kujimilikisha kila kitu na kuidumaza Tanzania kiuchumi.
Hatuendelei kwa sababu licha ya kuwa na watu wa kutosha na ardhi yenye kila kitu tumekosa siasa safi na uongozi bora mikononi mwa TANU&ASP na baadaye CCM.
 
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa mamlaka ya kumkabidhi nchi kutokana na muongozo wa katiba, aliwahi kutoa onyo mapema ili baadae yatayotokea ya kutokea asije akalaumiwa.

Mama alianza kutoa tahadhari kuhusu urefu wa maji yanayotengenisha mamlaka aliyonayo kama Rais, Amiri Meshi Mkuu na mkuu wa nchi nzima ya Tanzania. Na upande mungine ambao tupo sisi kama raia wa kawaida ambao hatuna mamlaka aliyonayo isipokuwa haki ya msingi tu ya kiraia, ambayo kila mwanachi anayo.

Tahadhari hiyo aliyoitoa mama ni kuwaonya wale wote wanaotaka kutumia njia zisizo sahihi kumfikia kule aliko (katika mamlaka yake) ambapo ni lazima uvuke hayo maji.

Kwahiyo alichofanya mama wa nchi ni kuwapa tahadhari kwamba wasije kujaribu kupima kina cha maji maana ni kirefu kuliko vimo vyao na endapo watakaidi basi wakapoingia na kupotelea humo majini asije akaulizwa au kulaumiwa yeye (wenye akili washaelewa kilichomaanishwa) Wengi walikuwa hawajamuelewa mama wakajua anatania, lkn kwa kilichotokea kwa Mbowe na genge lake, ni ukweli usiopingika kuwa maji yale aliyotahadharisha mama yana kina kirefu kweli kweli na kimewameza wote waliojaribu kutia mguu ili wapime urefu wake.

Pole Mbowe kwa kutanguliza kichwa badala ya miguu kupima kina hicho cha maji. Nina imani kina Lisu, Zito na genge lao hawatofanya kosa alilofanya mwenzao.
Mtu mwenye ubongo hawezi kuandika ujinga kama huu.
Idiot!
 
Haki zangu ni zaidi ya hizo ulizoorodhesha,Mimi sikuwahi kutumika/wala kutumwa na yeyote.
Ninapohitaji Katiba Mpya in kukataa hii chakavu ambayo inatumiwa na wanasiasa walafi wa CCM kujimilikisha kila kitu na kuidumaza Tanzania kiuchumi.
Hatuendelei kwa sababu licha ya kuwa na watu wa kutosha na ardhi yenye kila kitu tumekosa siasa safi na uongozi bora mikononi mwa TANU&ASP na baadaye CCM.
Kwa haya uliyoandika hapa, mi kwa upande wang sioni kama tatizo ni katiba bali ni wale wanaohitaji kuifata hiyo katiba. Ngoja nikupe mfano.. biblia na msahafu vinakataza waumini au binadam wasifanye dhambi ya aina yoyote lkn leo hii ni kawaida kusikia sheikh, padri au mchungaji anaiba, anazini, analaghai na wengine mpk kubaka na kulawiti. Je kwa mfano wa hayo yanayofanywa na viongozi wa dini cha kulaumiwa hapo ni msahafu na biblia au ni hao viongozi? Mfano wa pili mwenyekiti wa chadema wakati anaingia madarakani alikuta katiba ya chama chao inaruhusu wenyeviti wa chama wakae katika uongozi kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano, lkn yeye alipoingia tu kitu cha kwanza alichofanya ni kubadili katiba na kuweka ile inayomruhusu yeye binafsi kukaa madarakan kwa muda usiojulikana. Pili chama chake kilipewa mamilioni ya shilingi na Sabodo kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za chama, ujenzi wa visima ambavyo vingesaidia wananchi katika majimbo yanayoongozwa na chama chadema na hivyo chama hicho kuvuna wanachama wengi zaidi, lkn cha kushangaza fedha hizo zimetafunwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake hapa mtandaoni na chamani. Hela zile hazikujenga ofisi wala kisima na katiba iliyopo inamlinda mwenyekiti asiulizwe chochote na mwanachama wake kuhusu matumizi ya pesa za chama. Sasa mtu au watu wa aina hii hata ukibadiki katiba itakuwa na tija gani kwao au akiamua na yeye kuibadilisha hii mnayoipigania leo akaweka ya kwake itakayoendana na mazingira yake kama alivyofanya kwa chama chake nani atamzuia? Kwahiyo tatizo hapa sio katiba bali wanaitakiwa kufuata katiba.
 
Kwanza natanguliza salam ya Eid Mubarak kwa ndugu zetu waislam wa Tanzania na duniani kwa ujumla. Narudi sasa kwenye mada husika. Ndugu zangu wakati mama wa nchi anakabidhiwa nchi na waliopewa mamlaka ya kumkabidhi nchi kutokana na muongozo wa katiba, aliwahi kutoa onyo mapema ili baadae yatayotokea ya kutokea asije akalaumiwa.

Mama alianza kutoa tahadhari kuhusu urefu wa maji yanayotengenisha mamlaka aliyonayo kama Rais, Amiri Meshi Mkuu na mkuu wa nchi nzima ya Tanzania. Na upande mungine ambao tupo sisi kama raia wa kawaida ambao hatuna mamlaka aliyonayo isipokuwa haki ya msingi tu ya kiraia, ambayo kila mwanachi anayo.

Tahadhari hiyo aliyoitoa mama ni kuwaonya wale wote wanaotaka kutumia njia zisizo sahihi kumfikia kule aliko (katika mamlaka yake) ambapo ni lazima uvuke hayo maji.

Kwahiyo alichofanya mama wa nchi ni kuwapa tahadhari kwamba wasije kujaribu kupima kina cha maji maana ni kirefu kuliko vimo vyao na endapo watakaidi basi wakapoingia na kupotelea humo majini asije akaulizwa au kulaumiwa yeye (wenye akili washaelewa kilichomaanishwa) Wengi walikuwa hawajamuelewa mama wakajua anatania, lkn kwa kilichotokea kwa Mbowe na genge lake, ni ukweli usiopingika kuwa maji yale aliyotahadharisha mama yana kina kirefu kweli kweli na kimewameza wote waliojaribu kutia mguu ili wapime urefu wake.

Pole Mbowe kwa kutanguliza kichwa badala ya miguu kupima kina hicho cha maji. Nina imani kina Lisu, Zito na genge lao hawatofanya kosa alilofanya mwenzao.
Ujinga na woga ni tatizo lako acha wanaume wapambane au unaridhishwa na ushenzi uliopo nchini?!
 
Sijawahi kusoma andiko la kijinga kama hili hapa JF. Kwa hivyo wewe unashabikia ujinga wa watawala kwa sababu ya kuogopa vikwazo vya polisi, TISS na mbwa wengine wanaoilamba miguu CCM (including you)? Unaumwa kweli aisee.
Unaongozwa na ccm Kwa iyo we ni mbwa na unalamba miguu ya mbwa?
 
Mleta mada mama alivyohojiwa bbc alisema kesi ya mbowe ni toka mwezi September 2020 hayo uliyoyaandika mama kayasema mwezi wa March 2021 huoni unapotosha?
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom