Kwa 'Upuuzi' na 'Ushamba' huu Wanawake wa Kitanzania mtaendelea sana 'Kudharaulika' na Kukosa Waume bora wa Kuwaoa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
"Nilijishusha sana kwa Uchebe, nilitumia nguvu zangu kum-brand, nilimheshimu sana bila kujali kipato chake. Nimemkuta ana folloers 3 Instagram, ndugu zangu hawakutaka kabisa niolewe nae. Pesa ya mtaji wa spare za gereji nimempa mimi, alikuwa anapiga picha kwenye maduka ya watu hata ufundi bado hajajua vizuri." - Shilole.

globalpublishers

Na huyu nina uhakika hata 'Siri' za ndani kabisa za aliyekuwa Mwanaume wake Uchebe huenda akawa pia anazitoa ( anazimwaga ) kwa Watu na anazidi tu 'Kumdhalilisha' Kijana wa Watu. Sasa sisi huu 'Upuuzi' wako kama ulikuwa 'ukimsaidia' unatuhusu nini? Alikuomba umsaidie au kilikuwa ni 'Kiherehere' chako tu? Ina na Yeye ( Uchebe ) hajachangia chochote katika huu 'Umaarufu' wako ulionao sasa?

Na ndiyo Sisi Wanaume wengine 'Watoto wa Mjini' hasa ukikutana na 'Wapuuzi' kama hawa tunaamua Kuyapitisha Magari yetu katika Barabara zao Kuu mbili ile ya Lami iliyoruhusiwa Kisheria lakini pia huwa tunaamua Kukiuka Sheria za Barabarani na Kuyapitisha Magari yetu hadi katika Barabara zao za Vumbi ili Siku zingine wawe na Adabu na hata Wakituona tu njiani wajue kuwa Sisi ni Madereva Mahiri.
 
Baba levo akikusikia cjui itakuaje, ila hizo barabara za vumbi😂😂 nadhani utakuwa na kautaalamu ka kukwepa mabonde.😂😂
 
Back
Top Bottom