Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
Kwa namna upinzani unavyoenenda hapa Tanzania inatia shaka kama wale wananchi 20% waliutaka upinzani was sina hii. Yaani upinzani wamekosa uzalendo kabisa, wamekuwa waropokaji kiasi cha kuweza kumsaidia adui kitaarifa bila kujijua. Kwakweli upinzani aina ya huu wa akina Chadema ktk issue ya makanikia haukubaliki kabisa, tushindane kwa hoja na si kwa kwa kuliangamiza taifa!