Kwa upendeleo huu wa waziwazi bungeni tutawalaumu tu wapinzani

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,277
Leo wakati wa mjadala wa kuchangia bajeti ya wizara ya mambo ya ndani,kuna mbunge wa upinzani ameomba mwongozo kutoka kwa naibu spika,juu ya wabunge wa ccm,kuwaita wapinzani kuwa ni WANAFIKI,alianza samweli sitta na leo kuna mbunge mwingine,tena ametumia kauli hiyo!kuwa ni lugha ya kuudhi,cha ajabu naibu spika anasema hilo suala atalitolea maamuzi baadaye!Lakini ingekuwa kauli hiyo imetolewa na mbunge wa kambi ya upinzani,pale pale angeambiwa afute kauli!kwa staili hii tutegemee kuona mambo mengi,ambayo tulikuwa tukiyashuhudia ktk mabunge kama ya KENYA,SOMALIA ,na UKREIN
 
Back
Top Bottom