Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

2million nazungushia biashara na itazaa pesa nyingi sana na sio adi tareh 30 dirishan
 
Amin Amin nakuambia, Kataa Rushwa Usiwe Mtumwa.
Rushwa ni Utumwa.

Kuna jamaa alinisisitizia Sana nimpe laki Moja aongezee na laki nyingine niliyokuwa namdai Ili nipate Kazi Pepsi Mwanza, Nikagoma nikamuambia abilipe tuu Hiyo laki yangu. Au aweke laki yake ziwe laki mbili nikipata Kazi nimlipe Hiyo laki huku nikisamehe ile yangu. Jamaa akasepa hewani Hadi amefariki mwaka huu.

Nilipopata taarifa kuwa amefariki, nikamtuma Madai kea familia yake with all evidence lkn wamekausha.

Anyway.. Usitoe Rushwa, Usiwe Mtumwa.
 
Habari yenu wana jf.

Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
Sasa ukiwa na uwezo wa kutoa 2m...unashindwa kuanzisha biashara yeyote kwa hiyo 2m ..Usiwe mtumwa wa mawazo ya kijinga hvyo ...hv mbona watu mnaziabudu ajira hivyo
 
Kuna rafiki yangu (yeye ni mdogo kwangu hivyo huwa namuita mdogo wangu) alikwenda kwenye interview jijini Tanga miaka kama ya 2012/14 hivi. Anasema kwenye ule usahili yalijitokeza mambo ya ajabu sana kwani kulikuwa kuna rushwa za kila aina (kwa madai yake lakini) kama vile fedha, ngono n.k. Ajabu asilimia kubwa ya waliohusika kwenye rushwa hizo waliangukia pua.

Funzo; Epuka rushwa, na uipinge kadri uwezavyo
 
Sahh
 
Kuna jamaaa yangu alifatwa na jamaa ili amuunganishe kazi hadi wakaandikishana kabsa 300k hivi baada ya hapo jamaa kapotea mazimaa
 
Kuna jamaa yangu alipigwa Mill 2 Kwa ahadi ya kupata kazi TANAPA baada ya kutoa tu hiyo pesa jamaa (Yule boss)akawa hapatikani tena kwenye simu yaani...
Kwa ushauli labda upate kwanza hiyo kazi ndo utoe..
Nilitapeliwa elf 50 na bosi mkubwa tu Tena nilikua namwamini sana' ilikua hiv aliniambia nimtumie vyeti na cv Kuna kazi zinatoka ofisin kwake ataniweka ,,baada ya siku Kama nne hiv baada ya kumpatia cv na vyeti , akanipigia simu kwamba sija certify vyeti kwahiyo nimtumie elf 50 amalize mchakato na mwanasheria wa kampuni....nilimtumia ikawa ntoleee! Badae nilikuja kugundua ndio pigo zake hizo,,,kumbe kulikua na listi ndefu Sana ya wadau aliotupiga
 
Kuna rafiki yake bi mkubwa Ana watoto wanne tumekua nao binti yake wa pili nilisoma nae NI rafiki yangu Sana ila kanizidi kidogo maana alirudia Sana shue, kuanzia secondary alikua anahonga ili mtoto apate nafasi(private) maana hakuwa na grades nzuri mpaka akafika chuo alisoma ustawi wa jamii mama akahonga 3m akaajiriwa Kama clinical officer(kumbuka hakusoma clinical medicine), mdogo wake anayemfuatia alimaliza chuo mwaka 2019 alivyomaliza mama akahonga 1m dogo akapata nafasi ya kwenda jeshini bahati mbaya wakarudishwa baada ya tamko la mkuu, hakukaa Sana mama akahonga Tena sehemu 3m dogo kaanza kazi Kama wiki mbili zilizopita mshahara kaanza na 1.8m,
Mdogo wao wa mwisho alifeli form four bi mkubwa kahonga veta dogo kamaliza kozi ya umeme, mwenyewe anasema kuhusu future ya watoto wake yupo tayari kuhonga Hata 10m ikibidi.
 
Huyu mama ana akili sana anacheza na udhaifu wa mfumo mbovu wa nchi yetu. Alishajua “the world is not fair” ko anacheza kwa kila namna kupambania kombe kwa vijana wake.
 
Kuna mda unaona ni sawa tu maana usipoonga napo utakuta mwanao ni mtu wa kufanyishwa usaili tu lakin ajira zinaenda kwa watoto wa wakubwa wao na ndugu zao
 
Kweli kabisa mkuu huku makazini tupo na watu incompetent kabisa mpaka unajiuliza hivi huyu alipataje hii kazi kumbe rushwa
 
Kuna rafiki yake bi mkubwa Ana watoto wanne tumekua nao binti yake wa pili nilisoma nae NI rafiki yangu Sana ila kanizidi kidogo maana alirudia Sana shue, kuanzia secondary alikua anahonga ili mtoto apate nafasi(private) maana hakuwa na grades nzuri mpaka akafika chuo alisoma ustawi wa jamii mama akahonga 3m akaajiriwa Kama clinical officer(kumbuka hakusoma clinical medicine), mdogo wake anayemfuatia alimaliza chuo mwaka 2019 alivyomaliza mama akahonga 1m dogo akapata nafasi ya kwenda jeshini bahati mbaya wakarudishwa baada ya tamko la mkuu, hakukaa Sana mama akahonga Tena sehemu 3m dogo kaanza kazi Kama wiki mbili zilizopita mshahara kaanza na 1.8m,
Mdogo wao wa mwisho alifeli form four bi mkubwa kahonga veta dogo kamaliza kozi ya umeme, mwenyewe anasema kuhusu future ya watoto wake yupo tayari kuhonga Hata 10m ikibidi.
Aisee hatari sanaa...huyo mama ni mission town sipati picha nae enzi zake za kupambana..
 
Hahahaa acha kabisa mkuu huyo mama ni noma kwanza aliishia std 7 tu Ila Ana miradi kibao wana duka lao Hilo wanauza kila kitu yaani ukitaka cement unapata mafuta ya kula, nguo za watoto,nafaka yaani kila kitu kipo,hapo Wana mashamba Kama yote wanalima alizeti,karanga na mahindi,anafuga nyuki wa asali na ng'ombe wa maziwa, saloon,guest house,halafu akaingia na kwenye siasa huko ndo kapata connection nyingi maana waheshimiwa hawakauki pale kwake ni noma sana
 
Back
Top Bottom