Kwa uozo huu, hakuna budi tuchague lugha moja ya kufundishia

"Sisi watoto wa shule za kata sio kwamba hatupendi kuongea hio lugha ya kigeni, la hasha!

changamoto tunazopitia ni nyingi sana katika elimu, tunafundishwa kwa kiswahili kwa muda mrefu, kiingereza ni somo tu kati ya masomo 9.

Wengine kuna mashule tunafundishwa hadi kwa lugha zetu za makabila, mfano huku usukumani hata kiswahili hatukijui. Unadhani tutakiweza kiingeleza?

Kama serikali inataka na sisi tuwe washindani na tuelewe kiingeleza vizuri, basi ipige chini kiswahili toka chekechea mpaka darasa la saba, Kisw. Kiwe somo la kawaida. Utaona tutakavyowaka!

hatupendi kuwa hivi tulivyo"

Nawasilisha
Hatari sana
 
Back
Top Bottom