Kwa unyenyekevu mkubwa, ombi kwa BBC na DW

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,550
1,733
Tafadhali, sisi wakazi wa Wilaya ya Rungwe Mbeya na maeneo yote yanayozunguka, tunaomba sana Muwaruhusu Radio Chai FM waturushie matangazo yenu. Bila kupendelea au kuleta ushabiki, ni radio moja tunayoitegemea sana hapa kwetu.

Asanteni
 
Back
Top Bottom