Kwa ' Unafiki ' tulionao Waafrika hasa wenyewe kwa wenyewe nitaendelea Kuwaheshimu na Kuwapenda Wazungu hata kama ' Wanatuua ' Waafrika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,871
Mtakaonichukia kwa Hoja yangu hii nichukieni tu ila nitabaki kuwa Mkweli daima na Unafiki Kwangu GENTAMYCINE ni Mwiko. Leo kila Mwafrika anajifanya Kulalamika na Kulaani ' Mauwaji ' ya Mmarekani Mweusi George Floyd yaliyofanywa na Askari Mzungu wa Kimarekani kwa ' Ubishi ' wa Kujitakia wa huyu Mwafrika Mwenzetu wakati huku Kwetu Afrika ' tunauwana ' zaidi ya yaliyomkuta Yeye.

Waafrika ( ukiniondoa Mimi tu GENTAMYCINE ) labda na Watu wachache baadhi ni ' Wanafiki ' hakuna mfano linapokuja Suala la ama Ubaguzi au Mauwaji anayofanyiwa Mwafrika Mwenzetu wakati kama kuna Watu ambao tunauwana na kubaguana Sisi kwa Sisi basi ni Waafrika ila Wazungu wakitufundisha kuwa ' Civilized ' and ' to obey the rule of law ' tunawaona ' Wanatuchukia ' ile mbaya.

Hivi bila ' Unafiki ' na ' Chuki ' za Waafrika kama akina Joseph Kasavubu na ' Mpuuzi ' Mwenzie Mobutu Seseseko Afrika ingempoteza ' Jembe ' kama Hayati Patrice Emery Lumumba ambaye ' Kiuhalisia ' ndiyo inasemaka alikuwa Kiongozi wa Afrika aliyekuwa akiwapenda Kidhati kabisa Waafrika ambao hao hao baadae ndiyo walikuwa kufanya ' Collaboration ' na Wazungu na Kumuua?

Siungi mkono kabisa na kilichofanywa na Askari Mzungu wa Kimarekani ila sitaki pia Kuunga mkono ' Unafiki ' uliopitiliza wa Sisi Waafrika wa Kujifanya eti ' tumeumia ' na ' kuguswa ' kivile na Kifo chake wakati huku huku Afrika wengine tunawauwa Wazazi wetu, Ndugu zetu, Wanetu na hata Kuwatoa Kafara na Kuwachuna Ngozi Wenzetu ili ' tutajirike ' hasa Kimaisha na tutambe.

Hivi huyu Marehemu George Floyd angetii ' Amri ' ya wale Mapolisi ihusuyo mazingira halisi ya nyakati hizi za Janga hili baya na hatari la CORONA yangemkuta yaliyomkuta? Na wengi ' tumeshadadia ' tu Kusikitika kwa ' Kuuwawa ' Kwake lakini tumesahau kuwa hata Yeye pia kabla ya ' Kubinywa ' vile Sakafuni hadi akarudisha Chenji Mbinguni nae ' aliwatusi ' sana tu Askari wale.

Mpaka leo sijaona Serikali ya Tanzania yenyewe kama yenyewe ' ikilaani ' hiki Kitendo na naipongeza kwa hilo. Na kama Waafrika tumepata ' Uchungu ' nalo sana basi hii iwe ni sehemu yetu ya Kuanzia ya Sisi ' Kutojipendekeza ' kabisa kuhangaika kwenda Kwao huko ' Mamtoni ' na badala yake Waafrika wote tubaki ' Makwetu ' na tuzitengeneze nchi zetu ziwe nzuri kama za Marekani / Ulaya.

Sijajua kama Marehemu George Floyd ameshazikwa au bado ila kama tayari Kazikwa namuombea tu Makazi mema na mapya huko aendako Ahera!
 
Nahisi kuna footages hujaona kuhusu lile tukio. Jamaa alitii amri. Ipo footage inaonyesha jamaa alianza kushambuliwa kwenye gari la polisi kwanza kisha wakamtoa nje na akaonyesha ushirikiano kisha ndo wakajipanga na yule boya Dereck Chauvin kuua mazima.
 
black or white is not a colour is culture. hao black america tunawaona ni wenzetu lkn ukweli kuwa hawatupendi sisi waarfika tuliokulia afrika na wanatudharau kwa kiasi chake! huu pia ni unafiki
 
Nahisi kuna foorages hujaona kuhusu lile tukio. Jamaa alitii amri. Ipo footage inaonyesha jamaa alianza kushambuliwa kwenye gari la polisi kwanza kisha wakamtoa nje na akaonyesha ushirikiano kisha ndo wakajipanga na yule boya Dereck Chauvin kuua mazima.

Hebu rekebisha Kwanza hilo neno lako hapo la ' Foorages ' kisha uwe na uhalali wa Kuaminika ' Kihoja ' katika huu Mjadala tafadhali sawa? Halafu wakati Wewe ukimuita huyo Askari Dereck Chauvin kuwa ni ' Boya ' kuwa wengine wanamuona ni Shujaa hasa wa Kuwafanya Waafrika wasipende sana ' Kuwashobokea ' Wazungu na Kukimbilia kwenda Kuishi Kwao wakati Bara la Afrika lina ' ubarikio ' wote wa Uzuri, Jiografia na Neema pia.
 
black or white is not a colour is culture. hao black america tunawaona ni wenzetu lkn ukweli kuwa hawatupendi sisi waarfika tuliokulia afrika na wanatudharau kwa kiasi chake! huu pia ni unafiki

Mishipa imetukakamaa kabisa Mitaani hadi Mitandaoni kote ' Kulaani ' haya Mauwaji utadhani hawa Black Americans wanatujua Sisi Waafrika halisi.
 
Wazungu wako na roho nzr huwez uwacompare na policcm waliomuua Akwila mchana kweupe nakumpiga lissu Risasi 38 central zone Dodoma/ pia wakamuua mwangosi kwa Bomu

Mimi Niko upande wa wazungu kwani hata walio react kuhusu hill swala ni wazungu kuliko waafrica.
 
Mtoa Mada wewe ni Pimbi wa kiwango cha SGR na wewe ndiye boya namba moja,

Jitahidi Wewe badala ya Kutumia ' Sanitizer ' katika Kunawia Mikono yako sasa uwe unaitumia Kuoshea huo Ubongo wako uliojaa Upumbavu mno.
 
Aisee naunga mkono hoja. Mimi huwa nasema sijawahi kumchukia mzungu na sitakaa nimchukie hata atufanyie nini maana waafrika wengi tuna upumbavu mwingi sana.
 
Nafurahi kuona kuwa kumbe kuna JF Members wenye Kuona mbali, siyo Wanafiki na wao daima ni Kunyoosha tu Maelezo kwa Kusema Ukweli pia.
 
Mtakaonichukia kwa Hoja yangu hii nichukieni tu ila nitabaki kuwa Mkweli daima na Unafiki Kwangu GENTAMYCINE ni Mwiko. Leo kila Mwafrika anajifanya Kulalamika na Kulaani ' Mauwaji ' ya Mmarekani Mweusi George Floyd yaliyofanywa na Askari Mzungu wa Kimarekani kwa ' Ubishi ' wa Kujitakia wa huyu Mwafrika Mwenzetu wakati huku Kwetu Afrika ' tunauwana ' zaidi ya yaliyomkuta Yeye.

Waafrika ( ukiniondoa Mimi tu GENTAMYCINE ) labda na Watu wachache baadhi ni ' Wanafiki ' hakuna mfano linapokuja Suala la ama Ubaguzi au Mauwaji anayofanyiwa Mwafrika Mwenzetu wakati kama kuna Watu ambao tunauwana na kubaguana Sisi kwa Sisi basi ni Waafrika ila Wazungu wakitufundisha kuwa ' Civilized ' and ' to obey the rule of law ' tunawaona ' Wanatuchukia ' ile mbaya.

Hivi bila ' Unafiki ' na ' Chuki ' za Waafrika kama akina Joseph Kasavubu na ' Mpuuzi ' Mwenzie Mobutu Seseseko Afrika ingempoteza ' Jembe ' kama Hayati Patrice Emery Lumumba ambaye ' Kiuhalisia ' ndiyo inasemaka alikuwa Kiongozi wa Afrika aliyekuwa akiwapenda Kidhati kabisa Waafrika ambao hao hao baadae ndiyo walikuwa kufanya ' Collaboration ' na Wazungu na Kumuua?

Siungi mkono kabisa na kilichofanywa na Askari Mzungu wa Kimarekani ila sitaki pia Kuunga mkono ' Unafiki ' uliopitiliza wa Sisi Waafrika wa Kujifanya eti ' tumeumia ' na ' kuguswa ' kivile na Kifo chake wakati huku huku Afrika wengine tunawauwa Wazazi wetu, Ndugu zetu, Wanetu na hata Kuwatoa Kafara na Kuwachuna Ngozi Wenzetu ili ' tutajirike ' hasa Kimaisha na tutambe.

Hivi huyu Marehemu George Floyd angetii ' Amri ' ya wale Mapolisi ihusuyo mazingira halisi ya nyakati hizi za Janga hili baya na hatari la CORONA yangemkuta yaliyomkuta? Na wengi ' tumeshadadia ' tu Kusikitika kwa ' Kuuwawa ' Kwake lakini tumesahau kuwa hata Yeye pia kabla ya ' Kubinywa ' vile Sakafuni hadi akarudisha Chenji Mbinguni nae ' aliwatusi ' sana tu Askari wale.

Mpaka leo sijaona Serikali ya Tanzania yenyewe kama yenyewe ' ikilaani ' hiki Kitendo na naipongeza kwa hilo. Na kama Waafrika tumepata ' Uchungu ' nalo sana basi hii iwe ni sehemu yetu ya Kuanzia ya Sisi ' Kutojipendekeza ' kabisa kuhangaika kwenda Kwao huko ' Mamtoni ' na badala yake Waafrika wote tubaki ' Makwetu ' na tuzitengeneze nchi zetu ziwe nzuri kama za Marekani / Ulaya.

Sijajua kama Marehemu George Floyd ameshazikwa au bado ila kama tayari Kazikwa namuombea tu Makazi mema na mapya huko aendako Ahera!
Nakuunga mkono 100%
 
Sijasikia neno au kuona tendo lolote lile la kibaguzi ambalo yule askari alilisema au kumfanyia yule jamaa. Kilichotokea ni kuendelea kutumia nguvu isiyo na lazimadhidi ya mtu ambaye amesha dhibitiwa.
Nashangaa haya mambo ya ubaguzi yametokea wapi. Pia idadi ya blacks wanaouawa na Polisi haifiki hata robo ya idadi ya blacks wanaouawa wenyewe kwa wenyewe. Mbaya zaidi ubaguzi mablack wenyewe upo juu kuliko wanavyojaribu kuaminisha watu.
 
Nafurahi kuona kuwa kumbe kuna JF Members wenye Kuona mbali, siyo Wanafiki na wao daima ni Kunyoosha tu Maelezo kwa Kusema Ukweli pia.
Nami nafurahi kuona kuna waafrika wachache waliobaki ambao siyo wanafiki. Kwangu unafiki ni adui namba moja na kwa bara kama afrika mtu ukiwa msema ukweli unaonekana wa ajabu yaani ni kama kuna connection fulani hivi kati ya uafrika na unafiki.
 
Back
Top Bottom