Kwa unafiki huu wa viongozi wetu tutaendelea kweli?

Beautifulgirl

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
301
500
Nmejaribu kufanya reseach zangu kwa muda mrefu katika nchi yangu shamba la bibi kwa mda mrefu na kugundua viongozi wetu ni wanafiki na waongo wa kutupwa hizi ni baadhi ya kauli zao katika kudhirisha unafki na kujipendekeza.

1. Ukiwa na vyerehani 4 tayari nawewe una kiwanda

2. Natembea na viwanda mfukoni uniomba tuu nunakikupa.

3. Simtambui katibu mkuu wa cuf na mtambua lipumba na sakaya.

4. Tutaajiri baaada ya kumaliza uhakiki ambao unaweza kukamilika baaada ya miaka mitano hivi.

5. Bendera zote za CHADEMA zishushwwe mpk waziri amalize ziara yake.

6. Bashite asante Mungu kwa kumleta magufuli.

7. Bodoboda waandamana kumpongeza guma na waahidi kulipa kodi.

Mytake: Hivi viongozi wetu nani amewaroga kuishi kinafki na kujipendekeza.?

Kuna mwenyekiti mmoja tume ya Uchaguzi naye amekuwa msemaji hivi tanzania kuna vyuo maalum kwa sababu ya kusomea unafiki embu muangalie huyo spika wao mpaka magamba kwa ajili ya unafiki.
 
Truth Teller

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
1,197
2,000
Siku hizi hakuna haja ya ze comedy wala vituko show
Yaan kwa yanayoendelea humuu ni zaidiya comedy
Nadhani life expancy itapanda coz ya vichekesho tunavyopata kutoka kwa wasanii wetupendwa wana cias
Chin ya wachekeshaj mahiri wale wa lumumbaa
 
Eng Nyahucho

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
582
1,000
Nisaidieni assignment hii ndugu zangu..!

1. Why CCM opted to use the barrel of the of the gun in 2015 general Election? Use Zanzibar as a reference.

2. Democracy and observation of Human Rights in Tanzania under CCM it is still a pipedream. Validate this notion
3. With concrete examples examine the contribution of CCM towards the ever increasing of Corruption and Embezlement in Tanzania.

4."CCM is the only political party to transform Tanzania to prosperity". Refute this fallacy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,196
2,000
Kama unaisoma namba jitafakari na sio kulaumu viongozi.. acha uvivu na kupenda vya mteremko hii ni awamu ya tano.. jiongeze serikali haiwezi kuja kukuwekea chakula mezani kwa kulalamika huku unajisukuma na uongo mwingi hata ueleweki.. upo kama sijui nini
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,642
2,000
walking-away.jpg
 
IRINGA MOJA

JF-Expert Member
Nov 13, 2014
503
250
Ubinafsi umewajaa kiasi kwamba wanagawa na akili zao kwa wale wanaowasimamia (mamlaka za uteuzi au uidhinishaji) kwa ajili ya kufikiri badala yao. Wakitaka kusimamia ukweli utakuta wanaambiwa unakumbuka kilichomkuta Lucas Sekelii, Nape na wengineo sasa we endelea na kwa sababu ni wabinafsi waliojaa woga na wanaoangalia zaidi maslahi yao wanajikuta wanaufyata. Shem on them
 
nankumene

JF-Expert Member
Nov 12, 2015
6,007
2,000
Kama unaisoma namba jitafakari na sio kulaumu viongozi.. acha uvivu na kupenda vya mteremko hii ni awamu ya tano.. jiongeze serikali haiwezi kuja kukuwekea chakula mezani kwa kulalamika huku unajisukuma na uongo mwingi hata ueleweki.. upo kama sijui nini
duh! whatever you are smoking stop aisee
 
Ankazominiotra

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
607
500
Nmejaribu kufanya reseach zangu kwa mda mrefu katika nchi yangu shamba la bibi kwa mda mrefu na kugundua viongozi wetu ni wanafiki na waongo wa kutupwa hizi ni baadhi ya kauli zao katika kudhirisha unafki na kujipendekeza.
1.Ukiwa na vyerehani 4 tayari nawewe una kiwanda
2.Natembea na viwanda mfukoni uniomba tuu nunakikupa.
3.Simtambui katibu mkuu wa cuf na mtambua lipumba na sakaya.
4.tutaajiri baaada ya kumaliza uhakiki ambao unaweza kukamilika baaada ya miaka mitano hv.
5. bendera zote za chadema zishushwwe mpk waziri amalize ziara yake.
6.Bashite asante Mungu kwa kumleta magufuli.
7.Bodoboda waandamana kumpongeza guma na waahidi kulipa kodi.
mytake: Hivi viongozi wetu nani amewaroga kuishi kinafki na kujipendekeza.? Kuna mwenyekiti mmoja tume ya Uchaguzi naye amekuwa msemaji hivi tanzania kuna vyuo maalum kwa sababu ya kusomea unafiki embu muangalie huyo spika wao mpaka magamba kwa ajili ya unafki
Sidhani Kama unanizidi mimi kwa kushangaa, unafiki kila upande!
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,532
2,000
Kama unaisoma namba jitafakari na sio kulaumu viongozi.. acha uvivu na kupenda vya mteremko hii ni awamu ya tano.. jiongeze serikali haiwezi kuja kukuwekea chakula mezani kwa kulalamika huku unajisukuma na uongo mwingi hata ueleweki.. upo kama sijui nini
Weye ni hypocrite! Kila mmoja anakujua. Coco whaaaaaaaat! Coco faeces chanel?
 
tamuuuuu

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
14,505
2,000
Ni unafiki tu, haitakuja tokea maendeleo yakawepo kabisa.

Hovyo kabisa, sifa za kijinga na za uongo na Myweather ndo bingwa wa masifa.Ndo maana surbodinates nao ni kumimina sifa za uongo kwake ili kumvimbisha kichwa.

Poor Giningi Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
305
500
mawazir bunge viongozi wote wameshindwa kuisimamia serikali wamebaki kujipendekeza na unafki kuna mwandishi mmoja aliwahi kusema watanzani wakati Mungu anatuuumba kuwa binaadam alituongezea kitu kimoja kingine cha ziada ambacho ni unafki na kujipendekez
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,451
2,000
Hapo kwa Bashite yupo sawa kabisa, Ni lazima amshkuru Mungu maana bila magufuli muda huu asingekua Masaki wala ndani ya VX V8..

Na anajua kua utawala wa Magufuli ukiisha na yeye kinga yake inakua imeisha, thus why anapasua kichwa ili kuhakikisha Magufuli anatawala kama Mugabe maana hiyo ndiyo salama yake.

So lazima amshkuru Mungu kwa kumuwezesha Magufuli, ingawa ningekua Mimi ningempelekea zawadi kubwa Sana Nape, January na Mzee Lubuva.
 
Beautifulgirl

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
301
500
d
Kama unaisoma namba jitafakari na sio kulaumu viongozi.. acha uvivu na kupenda vya mteremko hii ni awamu ya tano.. jiongeze serikali haiwezi kuja kukuwekea chakula mezani kwa kulalamika huku unajisukuma na uongo mwingi hata ueleweki.. upo kama sijui nini
ulizaliwa 0714
 
DON

JF-Expert Member
May 6, 2008
887
1,000
Kama unaisoma namba jitafakari na sio kulaumu viongozi.. acha uvivu na kupenda vya mteremko hii ni awamu ya tano.. jiongeze serikali haiwezi kuja kukuwekea chakula mezani kwa kulalamika huku unajisukuma na uongo mwingi hata ueleweki.. upo kama sijui nini
Doto Dotto, vyeo vya kupewa vitamu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom